Goncalo Ramos Anahitaji na AC Milan, Lakini Bei ya €30M Inaweza Kuwa ni Kikwazo.
Kuna ripoti kadhaa zinazoeleza kuwa mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Gonçalo Ramos ametolewa kwa AC Milan na wakala Jorge Mendes, lakini ada ya €30 milioni inaweza kuwa kikwazo. AC Milan, maarufu …
Juventus Wako Tayari Kumpa Alisson Becker Mkataba wa Muda Mrefu Wenye Mvuto Mkubwa.
Ripoti za hivi karibuni zinadai kuwa Juventus wako tayari kumpa kipa wa Liverpool, Alisson Becker mwenye umri wa miaka 33, mkataba wa muda mrefu wenye mvuto ili kumshawishi kurejea kwenye …
Waamuzi Kutoka Morocco Kuchezesha Dabi ya Kariakoo Mei 3
Dabi ya Kariakoo inayosubiriwa kwa hamu kati ya Simba SC na Yanga SC inatarajiwa kupigwa Mei 03, 2026 katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo, huku macho na masikio ya mashabiki …
Luka Modric Kufanyiwa Upasuaji Baada ya Kupata Jeraha la uso Dhidi ya Juventus.
Ripoti kutoka Italia zimethibitisha kwamba mshindi wa zamani wa tuzo ya Ballon d’Or Luka Modric anahitaji kufanyiwa upasuaji baada ya kupata mgongano mkali wa vichwa na mchezaji wa timu ya taifa …
Luis Enrique Amempongeza Sana Vincent Kompany Kuelekea Pambano Lao la UEFA
Luis Enrique, kocha wa mabingwa watetezi wa Paris Saint-Germain, amemwaga sifa kwa wapinzani wao Bayern Munich kuelekea mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya UEFA Champions League utakaochezwa kesho. “Vincent …
Ansu Fati Ana Furaha Akiwa Monaco
Mshambuliaji Ansu Fati ni miongoni mwa wachezaji wa FC Barcelona ambao kwa sasa wanacheza mbali na klabu hiyo, akiwa kwa mkopo katika timu ya Ligue 1 AS Monaco. Baada ya …
Mechi ya Tottenham Hotspur na Chelsea Kupangwa Upya
Mechi ya Tottenham Hotspur dhidi ya Chelsea italazimika kupangwa upya baada ya “The Blues” kuwafunga Leeds United na kufuzu fainali ya FA Cup. EPL italazimika kupanga upya moja ya mechi za …
Mbappe Mashakani Kuikosa El Clasico Baada ya Kuumia Paja
Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé, yuko hatarini kuukosa mchezo wa El Clasico utakaopigwa Mei 10 baada ya klabu yake kuthibitisha kuwa amepata jeraha la paja. Katika taarifa rasmi, Madrid …
Rashford Awa Mpole, Barcelona Kubadili Makubaliano na Man United
Mshambuliaji wa England, Marcus Rashford, anaripotiwa kubaki mtulivu huku klabu ya FC Barcelona ikifikiria upya masharti ya uhamisho wake wa kudumu kutoka Manchester United. Rashford, ambaye yuko kwa mkopo Barcelona …
Enzo Fernandez Aipeleka Chelsea Fainali ya FA Cup Baada ya Kuifunga Leeds
Kiungo wa Enzo Fernandez amefunga bao pekee kwa kichwa lililoipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Leeds United na kufuzu fainali ya FA Cup kwenye Uwanja wa Wembley Stadium. Huu …

