Nafasi za FIFA
Kukiwa na zaidi ya michezo 150 iliyochezwa mwishoni mwa wiki mbili zilizopita ambayo ilikuwa ikihusisha michezo ya kirafiki na mingine ya kufuzu kuelekea michuano ya Euro 2020; shirikisho la dunia …
Watford Wafanya Kweli FA
Watford wametengeneza historia upya baada ya kipindi kirefu cha kutokufika hatua hiyo ya fainali. Wamewatupa nje ya michuano hiyo wababe wa Manchester United baada ya kucheza mechi iliyokuwa ya kipekee …
Osaka Alamba Ulaji na Nike
Mara nyingi wadhamini huwa na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya mchezaji hasa katika kujenga wasifu wake. Jambo hilo mara nyingi huwafanya wachezaji wengi kuhangaika nalo ili angalau waweze kuwa …
Sarri Amepata Nafuu? Vipi United na Spurs?
Huku EPL mambo yanaendelea kuwa matamu, Ligi inakuwa ngumu hapa mwishoni huku watabe Liverpool na Manchester City wakipambana kuchukua taji! Arsenal ameshindwa kuchomoka kwa Everton dakika 90 zimewaacha kapa huku …
Chelsea Kumuachia Hazard Kiangazi
Klabu ya chelsea wanaripotiwa kuwa watakunjua moyo kumuachia staa wao Eden Hazard kusepea Real Madrid kiangazi kinachokuja. Eden Hazard amebakia na mda mfupi klabuni Chelsea akiwa anamaliza mkataba wake mwaka …
Man City Watayakusanya Yote 4?
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City wako kwenye moto wao msimu huu ukiwa unaelekea ukingoni, wakiwa wamepania kujikusanyia mataji yote 4 wanayoshiriki msimu huu. Licha ya ukweli …
Alimkosha Zidane Mara Zote Akiwa Dimbani
Bosi wa Realo Madid Zinedine Zidane amekuwa akihusishwa sana na nyota wa Real Madrid Eden Hazard. Staa huyu alishawahi kuweka wazi kuwa Real Madrid ni klabu ya ndoto zake toka …
Klabu Zapanga Foleni kwa Ndombele
Klabu za PSG, Manchester United na Juventus zinaripotiwa kuongoza mbio za kumnasa staa wa Lyon anayecheza nafasi ya kiungo Tanguy Ndombele. Staa huyu mwenye miaka 22 ambaye amekwishacheza mara 4 …
Balaa la Messi Kuwanyanyasa United
Lionel Messi ni mchezaji ambaye anaogopwa sana kwenye Ligi ya Uhispania na Ulaya kwa ujumla wake. Anafahamika vyema kwa kupindua matokeo. Bila shaka huyu anweza kuwa mwiba na kuwaletea balaa …
Arsenal na Nafasi 4 za Juu
Kocha wa Arsenal, Unai Emery amewataka Arsenal kuendelea kukaza mechi zake zilizosalia msimu huu na kwamba kwa hatua iliyopo kila mechi kwao ni kama fainali. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumzia juu …

