Nani Kunyanyua Taji la EPL?
Zikiwa zimesalia mechi chache kuelekea kuhitimisha mzunguko wa msimu wa 2018/19 bado kuna wakati mgumu kujua nani ataibuka mshindi wa kombe hilo ambalo msimu huu linaonekana kuwa na uzito kutokana …
Bado United Wanapanga Mashambulizi
Ni suala la kihistoria kutokea katika klabu ya Manchester United kuwa na mtu atakayeshughulikia masuala ya ufundi; akipewa jina la Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu baada ya kumpa mtoto wa …
“Napenda Kuendelea Kuchezea Hii Klabu!” – Robben
Umri ni suala ambalo hakuna kiumbe anaweza kuzuiana nao ukiwa tayari umefika hasa pale unapofukuzuia kufanya kitu fulani ambacho wewe ungependelea kuendelea kukifanya lakini kutokana na harakati hizo kuwa ngumu …
Lewis Akamata Bahrain Grand Prix
Amekuwa akisumbua kwa kipindi kirefu kutokana na kuvunja historia nyingi sana kupitia mbio za magari. Wapinzani wake wamekuwa wakiogopa hata wanapokutana naye barabarani kwani ana uzoefu uliopitiliza kwenye mbio hizo …
Bila Messi ni Shida Tupu!
Inaweza isizungumziwe moja kwa moja lakini kauli na matendo ya viongozi wa juu zikaonesha nia dhahiri na kwa namna wanavyohitaji uwepo wa mchezaji huyo katika kila mechi waliyonayo mbeleni pamoja …
“Benzema ni Namba 9 Bora Duniani”
Kwa mujibu wa Alvaro Odriozola, mchezaji mwenzie Karim Benzema ndiye namba 9 bora duniani. Karim alicheka na nyavu dakika ya 89 pale Santiago Bernabeu wakiwachapa 3-2 Huesca kwenye gemu ya …
Bayern Watavaana na Timu ya Taifa ya China!
Klabu ya Bayern Munich wanatarajia kupambania kikombe cha Allianz China Cup dhidi ya timu ya taifa ya China kule Beijing mwezi ujao. Klabu hii inayoshiriki Bundasliga imetangaza kuwa baada ya …
Bado Ligi Ngumu
Baada ya Liverpool kuwalaza na viatu wageni wao wa mchezo wa jana, Spurs bado kuna ugumu kuelekea nani anaweza kutwaa ubingwa wa ligi hiyo baada ya matokeo ya mechi hiyo …
Yaliyojiri PL
Manchester United wameanza kampeni yao vizuri ndani ya ligi yao baada ya kupata ushindi mbele ya Watford ambao walijitahidi kutawala mchezo japo bahati haikuwa kwao. Ushindi huo ni wa kwanza …
Zidane Ataamua Hatma ya Bale
Hatma ya Gareth Bale pale Real Madrid inaonekana kuwa kama giza lisiloeleweka mwisho wake. Gareth Bale amekuewa katika kipindi kigumu akishindwa kuwa katika fomu nzuri kama wanavyomtarajia. Zidane ataamua hatama …

