N’Golo Kante na Eden Hazard Wapigwa Benchi
Gemu ya mwazo kabisa ya Ligi Kuu ya Uingereza inawashuhudia Cardiff wakiwa wenyeji wa Chelsea, wawili hawa wote wana njaa kali ya pointi 3 kwa sababu zo tofauti. Cardiff wanataka …
Barca Wanajaribu Kusajili Staa wa United
Mabingwa wa La Liga, Barcelona wanaripotiwa kuwa wapo kwenye mishe mishe za kutaka kuwasajili mastaa wa Manchester United kutoka Ligi Kuu ya Uingereza. Ripoti zinadai kuwa Barca wameshaanza kufanya mawasiliano …
Alichonena Zidane Kumchukua Paul Pogba
Sakata la Paul Pogba kuhusishwa na Real Madrid linaendelea kuwa tamu zaidi! Ipo wazi kuwa Pogba anatamani siku moja kuichezea klabu ya Real, na alinukuliwa akijihusisha na klabu hiyo siku …
Liverpool vs Tottenham, Dondoo za Gemu
Jumapili hii ni Liverpool vs Tottenham pale Anfield! Liverpool wanakutana na kibarua kingine kigumu wanapomkaribisha Tottenham Hotspur, kikwazo ambacho kinaweza kuwaonesha muelekeo wa kutwaa ubingwa au kupigwa gepu zaidi na …
Bado Upepo Hausomeki…
Kiungo na mchezaji wa klabu ya Manchester United, Ander Herrera anasema bado haelewi kama ataendelea kusalia klabuni hapo msimu ujao japo hajawahi kufikiria kabisa kuihama klabu hiyo lakini kwa hali …
Messi: Nimemkumbuka Ronaldo
Uwepo wa mchezaji fulani huchochea kwa kiwango kikubwa ari ya mchezaji mwingine kiushindani na hata kimataji. Messi ameweka wazi kwamba sio siri tena kwake amekumbuka kwa kiwango kikubwa uwepo wa …
Kishindo cha Ligi Kuu
Baada ya mapumziko ili kupisha michezo ya kimataifa ya EURO 2020 kwa sasa ligi hiyo inarudi kwenye kasi yake ya awali huku ikiwa ni safari ya kuelekea kuhitimisha ikiwa ni …
£125m za Real Madrid Zinamuwinda Paul Pogba
Real Madrid wanaripotiwa kujiandaa kuweka kitita cha £125m kumuwinda staa wa Manchester United Paul Pogba ambaye hivi karibuni alionekana kuiweka wazi ndoto yaje ya kuchezea Real Madrid. Kwa mujibu wa …
Messi Akamata Nafasi ya 1, 2 na 3 kwa Pamoja!
Fundi wa soka kutoka Barcelona Lionel Messi amebamba nafasi 3 kwa pamoja kwenye goli bora zaidi katika historia ya Barcelona. Messi amechapa jumla ya magoli 591 kwenye gemu 673 alizocheza. …
Pique: Nina Pesa Kuzidi Bajeti ya Espanyol
Staa wa Barcelona, Gerarld Pique amewatambia wapinzani wao Espanyol wakijiandaa kukutana kwenye debi ya the Catalan Jumamosi hii. Staa huyu amesema kuwa yeye ana pesa nyingi mno kuzidi bajeti ya …

