N'Golo Kante na Eden Hazard Wapigwa Benchi

Gemu ya mwazo kabisa ya Ligi Kuu ya Uingereza inawashuhudia Cardiff wakiwa wenyeji wa Chelsea, wawili hawa wote wana njaa kali ya pointi 3 kwa sababu zo tofauti. Cardiff wanataka kutoka nafasi za mkiani huku Chelsea wakisaka kumaliza 4 bora -Top 4! N’Golo Kante na Eden Hazard hawapo kikosi cha 1!

Wakati vikosi vinatajwa, Chelsea wamewaacha mashabiki wao na mshangao wa sababu za kukosekana kwenye kikosi cha 1 wataalamu Eden Hazard na N’Golo Kante.

Hivi ndio vikosi vinavyoanza
Cardiff City XI: Etheridge, Peltier, Morrison, Ecuele Manga, Bennett, Gunnarsson, Josh Murphy, Victor Camarasa, Arter, Hoilett, Niasse

Subs: Ralls, Zohore, Reid, Bacuna, Mendez-Laing, Harris, Brian Murphy

Chelsea XI: Kepa, Azpilicueta, Rudiger, Luiz, Alonso, Kovacic, Jorginho, Barkley, Pedro, Higuain, Willian

Subs: Kante, Hazard, Loftus-Cheek, Caballero, Giroud, Hudson-Odoi, Christensen

Sababu ni nini?

Sarri anajua kwa nini ameamua kufanya hivi kwa gemu hii. Rekodi zinaonesha kuwa kante anakuwa anakosa kuwa katikia kikosi cha kwanza cha Chelsea kwa mara ya kwanza, wote yeye na Hazard hawajapata jeraha wakati wa likizo ya kimataifa.

2 Komentara

    Kawaida tu.

    Jibu

    Duh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.