Ripoti: Ni Ajali Ndogo Tu
Furaha ya mchezaji ni kuisaidia timu yake kupata matokeo kupitia yeye kuanzia mwanzo wa mechi hadi mwisho wake. Jambo hilo huendana na kucheza mechi husika kwa juhudi zake na maarifa …
Machaguo Sahihi kwa Madrid
Kwa sasa Zidane ameanza kibarua chake kwa awamu nyingine tena kama kocha wa kikosi hicho cha matajiri wa Hispania. Hajataka kabisa kulaza mambo, ameanza vuguvugu la usajili mapema ili kurejesha …
Mbio za Kiatu cha Dhahabu
Kasi ya kukifukuzia kiatu cha dhahabu imekuwa sio ya kawaida kutokana na uchekaji na nyavu ulivyokuwa na kasi kubwa ndani ya ligi kuu ya Uingereza. Kwa sasa kila mchezaji anajitahidi …
Dortmund: Mwageni Pesa…
Baada ya kuona mchezaji wao anaviziwa sana na klabu nyingi sasa klabu ya soka ya Borussia imekuwa sio mbinafsi kwa kuweka mezani bei ya mchezaji wao kwa yeyote atakayehitaji kuwa …
Romelu Lukaku Alikaribia Kujiunga Fulham na QPR!
Romelu Lukaku wa leo huenda angekuwa mahali au klabu nyingine au angekuwa kwenye nafasi tofauti na alipo sasa katika soka lake la kulipwa! Staa huyu amefichua kuwa ilibakia kidogo mno …
Real Madrid Macho Yote kwa Sadio Mane
Meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane anaripotiwa kuwa tayari ameshambainisha mshambulio wa Liverpool Sadio Mane kama kipaumbele namba moja cha klabu kwenye dirisha la uhamisho la Msimu wa joto. Ikumbukwe …
Nafasi za Wazi za Varane
Real Madrid wanafikiria kupata wachezaji watakaoleta chachu mpya ndani ya kikosi chao mbele ya kocha wao aliyepata nafasi ya kukinoa kikosi hicho kwa awamu ya pili, Varane kwa sasa anaangalia …
Madrid na De Gea
Baada ya Zinedine Zidane kurejea ndani ya viwanja vya Bernabeu zile habari za kumuwinda De Gea zimeanza kuchukua nafasi yake upya kwa mara nyingine tena. Hii inatokana na mapendeleo ya …
Stars Wamefanya Kweli!
Ule msemo wa “yametimia” umeweza kudhihirika uwanja wa taifa Tanzania pale ambapo timu ya taifa ilipowasambaratisha Waganda katika ardhi yao. Ni aina ya mechi iliyovutia na iliyojaa shamrashamra na hamasa …
Tuwatazame Miaka 21 Kushuka Pale Uingereza
Hebu tuwatizame wataalamu wa chini ya miaka 21 ambao ni hazina ya soka kwa taifa la Uingereza. 🏴 Marcus Rashford Ni mchezaji wa Manchester United, amezaliwa Oktoba 31,1997 kule Wythenshawe. …

