Furaha Yenye Karaha!
Champions League

Mchezaji huwa huru kuzitumia hisia zake kushangilia vile anavyojisikia yeye kwa namna ambayo itaheshimu nafasi ya wengine bila kuhatarisha au kuvunja sheria ambazo zimewekwa kama zile zinazoonesha kushangilia kwa kuashiria …

Soma zaidi
Sanchez: Soka ni Maisha Yangu
Daily News

Mshambualiaji wa Manchester United, Alexis Sanchez ameamua kufunguka kwa wale wanaomdhania mabaya kwamba angeweza kuondoka katika ardhi ya Uingereza na kujiunga na klabu nyingine kutokana na kukosa muda wa kutosha …

Soma zaidi
“Sina Muda Nao!” – Griezmann
Daily News

Griezmann hayupo tayari kuingia sokoni msimu huu kujiunga na klabu nyingine ya jiji alimo kwa sasa ila anaangalia zaidi kama atapata nafasi ya kutimka hapo na kujiunga na klabu nyingine …

Soma zaidi
Wababe wa CAF…
Daily News

Afrika ni miongoni mwa bara linaloongoza kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa na historia ya kipekee ambao wanafanya vizuri ndani na nje ya mataifa yao ya asili. Ni bara lenye …

Soma zaidi
Mata: Vichapo Kitapima Morali ya United
Football

Baada ya kupokea vichapo ikiwa ni pamoja na kichapo kilichowatoa kwenye Kombe la FA dhidi ya Wolves, Juan Mata anaamini kuwa huu ndiyo wakati wa majaribu kwa Manchester United ambao …

Soma zaidi
Safari Ya Matumaini Real Madrid na Zidane
Football

Real Madrid wameanza vyema safari yao ya matumaini chini ya meneja Zinedine Zidane anayehudumu kwa kipindi cha pili baada ya aliyekuwa meneja wa klabu hiyo Santiago Solari kutimuliwa. Real wameanza …

Soma zaidi
Hattrick ya Messi Ilivyowakosha Wapinzani!
Football

Kitu nadra sana hiki, klabu yako inafungwa na unashangilia goli ambalo umefungwa na mpinzani wako! Huyu ndiyo Messi akikamilisha hattrick yake, wakati mwingine mafundi wanapaswa kupokea pongezi zo tu bila …

Soma zaidi
Raha za FA Cup…
Daily News

Michezo ya kombe la FA ilishika kasi huku ikishuhudiwa baadhi ya klabu kubwa zikipata shida mbele ya klabu ambazo zinachukuliwa kuwa na uwezo wa chini. Klabu zenye majina makubwa zimepata …

Soma zaidi
Ligi Kuu: Kazi Ipo Top 4!
International

Ilikuwa ni siku mbaya upande wa Sarri ambaye alipata kipigo mbele ya Everton waliokuwa kwenye ubora wa hali ya juu ambao haujawahi kushuhudiwa kwao wakiwa nyumbani hususan wanapocheza na klabu …

Soma zaidi
Nusu Fainali ya FA
Football

Ikiwa klabu nyingine zimetupwa tayari katika michuano hiyo inayoelekea mwishoni nchini Uingereza, makundi ya hatua ya nusu fainali tayari yameanikwa na kila mmoja amejua wa kukutana naye katika hatua hiyo …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.