Ronaldo Kuondoka na Watu Wake…
Daily News

Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Real Madrid anahusishwa na kujiunga na klabu ya Juventus kwa kipindi cha hivi karibuni baada ya kupoteza kabisa nafasi ya kuanza ndani ya kikosi …

Soma zaidi
Hawaijui Tuzo ya Mwezi EPL!
Football

Furaha ya mchezaji siku zote ni kushinda vikombe na mataji mbalimbali ambayo huweza kumuonesha kwamba anafanya kitu ambacho kinatambulika na kinaonekana na wengi wanaotambua thamani ya soka duniani. Jambo hilo …

Soma zaidi
Nani Kilaza Barca au United? Tujikumbushe
Champions League

Manchester United na Barcelona wanavaana kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya matokeo ya droo ya robo fainali ya iliyochezeshwa Ijumaa hii, Machi 15. Sio mara ya kwanza kwa miamba …

Soma zaidi
Wolverhampton Vs Manchester United; FA CUP -Uchambuzi
FA Cup

Wolverhampton Vs Manchester United Wikiendi Hii! Manchester United bado hawajaridhika baada ya kichapo cha kwanza walichokipokea wakiwa chini ya meneja wao wa mda bwana Ole Gunnar Solskjaer. Wanasafiri kumfuata Wolverhampton …

Soma zaidi
Wapotevu wa Madrid…
Daily News

Soka ni mchezo wa ajabu sana ambao siku zote huibua mambo ya aina mbalimbali. Kuna wakati mchezaji huhama kutoka klabu moja kwenda nyingine kwa lengo la kubadili angalau mazingira. Lakini …

Soma zaidi
Magoli 100 ya Haraka PL
Daily News

Ligi kuu ya Uingereza imeshuhudia wachezaji wengi wakiweka historia ya kutikisa nyavu mara 100 wakiwa katika umri mdogo kabisa. Kama ilivyo ada kufikisha idadi hiyo ya magoli ni ndoto ya …

Soma zaidi
Callum Hudson-Odoi Ndani ya England U21
Football

Kinda wa Chelsea, Callum Hudson-Odoi amepata shavu kwenye kikosi cha uingereza chini ya miaka 21 kwa mara ya kwanza wakati kikosi hicho kikiandaliwa kuvaana na Poland na Ujerumani kwenye Michuano …

Soma zaidi
Messi Anataka Kubamba Zaidi ya CR7
Champions League

Hawa jamaa ni wapinzani wa Jadi sasa! Christiano Ronaldo -CR7 na Lionel Messi kwa kipindi kirefu wamekuwa wapizani katika ligi ya La Liga, Messi akiwa barcelona wakati Ronaldo akiwa Real …

Soma zaidi
Neymar Kupitiwa na Fagio
Champions League

Kuna wakati ukiruhusu hisia zikuendeshe kuna uwezekano mkubwa ukajikuta unaingia kwenye mikono ya hukumu au sheria zikashika mkondo wake. Vivyo hivyo suala hili huwakuta wachezaji pale wanapotumia mitandao ya kijamii …

Soma zaidi
Usajili wa kwanza Baada ya Kurejea Zidane
Football

Baada ya aliyekuwa meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane kurejea tena klabuni hapo, Real Madrid wanaripotiwa kuwa wamekubaliana kumsajili nyota mbrazili anayecheza nafasi ya ulinzi Eder Miltao kutoka Porto mwisho …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.