Penati ya Man United, UEFA Watoa Neno
Champions League

Gemu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ya PSG dhidi ya Manchester United ilikuwa kali na kuacha matokeo ya kihistoria yaliyokuwa na nafuu kwa Manchester United chini ya Ole Gunnar Solskjaer. …

Soma zaidi
Viwanja Bora Duniani
Daily News

  Soka sio tu mchezo wa kushindanisha timu mbili uwanjani, pia linaendana na uwekezaji katika viwanja ambavyo mara nyingi huwa ni kivutio kikubwa cha mashabiki; pia huchochea wachezaji kucheza kwa …

Soma zaidi
Marouane Fellain Ametangaza Kustaafu
Daily News

  Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Marouane Fellain ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mwanasoka huyu ameweka wazi kuwa kwa sasa hatakuwa mchezaji wa kimataifa wa Belgium. Staa huyu alikamilisha usajili …

Soma zaidi
Ujio Mpya wa EPL Msimu Ujao
Daily News

  Kama siku zote wasemavyo wahenga, ‘Safari ya kesho huandaliwa leo’ basi haya yameanza kujibainisha mapema sana katika ligi kuu ya Uingereza ambayo imeanza marekebisho ya mapema kabisa kwa baadhi …

Soma zaidi
Wenye Pesa Ndefu kwa Sasa Uingereza
Daily News

  Ligi ya Uingereza inaendelea kusuka pesa za kutosha kwa sasa huku ikiendelea kuwalipa wachezaji wake vizuri ili kuwavuta waendelee kukaa katika vikosi vyao na kutoa huduma stahiki. Dili mbalimbali …

Soma zaidi
Jose Mourinho na Ukaribu wa Umeneja Real Madrid
Daily News

Stori kali kwa wapenda soka wa Hispania sasa ni nani atakuwa meneja wa Real Madrid kuchukua nafasi ya Santiago Solari? Wadau wengi wamekuwa wakimpa nafasi sana aliyekuwa meneja wa Manchester …

Soma zaidi
Kikosi cha Tottenham Kitakachomvaa Southampton
Daily News

  Baada ya kutoboa kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Tottenham wanataka kurejea kwa kishindo kuendeleza jalamba la ushindi huku kwenye Ligi Kuu wakati wakikutana na Southampton pale …

Soma zaidi
Furaha ya Cantona na Ferguson Baada ya Ushindi wa Man U
Champions League

Ni furaha United! Ushindi wa kihistoria wa Manchester United dhidi ya PSG umewatoa kimasomaso mashabiki wengi wa Manchester United ambao wanatembea kifua mbele huko kitaa! ‘Ebwanaa eenh kazi ya Ole …

Soma zaidi
Pacha za Viungo Bora Uingereza
Daily News

  Ili mpira ukubalike miongoni mwa wanamichezo na wapenda soka lazima kuwepo na watu wanaowashawishi kuwatazama pindi wakiwa uwanjani. Kutokana na hilo wanachangia wao kulipenda soka hilo. Pamoja na hilo …

Soma zaidi
Barcelona Watoa Dozi Nyingine!
Champions League

  Ni mwendo wa dozi! Frankie De Jong ambaye amejiunga na Barcelona kuanzia msimu ujao ameendeleza historia mbovu kwa Madrid kwa kuiondoa kabisa nje ya michuano ya klabu bingwa barani …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.