Ni KweLi Man City Hawapo Tayari Ubingwa?
Mabingwa watetezi wa taji la Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City wamekuwa wakifanya poa zaidi katika misimu ya hivi karibuni wakiwa wamefanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu msimu uliopita huku …
Silva Amwaga Wino
Bernado Silva amekuwa nguzo kubwa sana ndani ya kikosi cha Guardiola msimu huu akionesha uwezo wa juu kabisa ndani ya ligi hiyo upande wa kufunga, kutoa pasi za muhimu na …
UCL: Kweli Wamedhamiria!
Liverpool wamefanikiwa kumuadhibu Bayern katika mchezo wao wa klabu bingwa Ulaya pale walipokutana na mpinzani wao huko Ujerumani. Liverpool walionekana kama kuzembea kutafuta magoli lakini wakiwaruhusu Bayern wacheze mpira watakavyo …
Moto Unawaka EPL! Kunani Mtaa wa 7?
Wiki ya 30 ya gemu za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea kuonesha ushindani mkubwa sana huku ikiendelea kutoa picha ngumu ya nani hasa atatwaa taji hilo kwa miamba …
Kikosi cha Mwaka cha PFA 2019
Huku ligi ya Uingereza ikiwa inaelekea mwishoni mwa mashindano yake, huku kila timu ikijaribu kupigana kujua itamaliza ikiwa nafasi ipi na nyingine zikijiandaa kushuka katika ligi yao, lakini vurugu …
Karibu Uingereza…
Unaweza kuwa haukuwa usiku mzuri kwa United ambao waliambulia patupu mbele ya Arsenal walioonekana kuwa katika hali ya ubora katika mechi iliyowakutanisha miamba hao wa soka. Kilichovutia sana katika …
Mnyama Atafunwa!
Baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo mazuri ndani ya ligi na baadhi ya mechi za kimataifa klabu ya Simba imekubali kupokea kichapo kingine mbele ya Waalgeria, J. S. …
Zinedine Zidane Ameshatua Italia! Rasmi kwa Juve?
Zinedine Zidane ameendelea kuzipa moto taarifa za yeye kuwa kwenye mazungumzo na klabu ya Juventus ambayo anatajwa kuwa namba moja kwenye nani atarithi kliti cha meneja wa klabu hiyo, inadaiwa …
Kichapo cha United Kinamnyima Usingizi Mbappe
Hali mbaya kwa mbappe, anadai anashindwa kupata usingizi toka walipotolewa kwenye hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kichapo ambacho walipokea cha bao 3-1 kutoka kwa …
Kazi ya Manchester United Ndio Kitu Pekee Anachokitaka!
Ole Gunnar Solskjaer ameweka wazi kuwa kufanya kazi klabu ya Manchester United ndiyo kitu pekee ambacho amekuwa akihitaji kukifanya. Wakati nwake wote amekuwa akifikiria kuja kufanya kazi kama meneja wa …

