Beckham Amewapania Messi na Ronaldo Kutua Miami
Football

Staa aliyepata umaarufu sana kupitia soka ambaye kwa sasa anamiliki klabu yake ya Inter Miami, David Beckham amepania kuwanasa mastaa wanaotikisa ulimwengu wa soka Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kutua …

Soma zaidi
Safari ya De Gea Kwenda Real Madrid
Football

Wakati manchester United wanapambana kumsainisha mkataba mpya golikipa David De Gea, sasa wanapata upinzani mkubwa zaidi kutoka Real Madrid wakati ambao Zinedine Zidane amerejea kibarua chake cha umeneja klabuni hapo. …

Soma zaidi
Ahadi ya Ole Gunnar kwa Mashabiki Baada ya 2-1
FA Cup

Baada ya kichapo cha bao 2-1 dhidi ya Wolveshampton meneja wa mda wa Manchester United bwana Ole Gunnar ametoa ahadi kwa mashabiki wa United kuwa watarajie makubwa kwa klabu yao …

Soma zaidi
Simba Yatinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
Football

Timu ya Simba imeibuka na na ushindi wa 2-1 dhidi ya As Vita katika uwanja wa Taifa Dar es Salaama na kufuzu kwa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa …

Soma zaidi
James Garner Amesani Dili Mpya Man United
Football

Kiungo mtoto wa Manchester United James Garner amesaini mkataba mpya wa kubakia klabuni Manchester United hadi mwisho wa msimu wa mwaka 2021-22 kukiwa na sharti la maamuzi ya kuongeza mwaka. …

Soma zaidi
Zidane Anamtamani Mbappe, Watamsajili?
Football

Zinedine Zidane amerejea klabuni Real Madrid siku kadhaa zilizopita baada klabu hiyo kuwa na wakati mgumu huu na kufanya maamuzi ya kumtimua aliyekuwa meneja wa klabu hiyo Santiago Solari. Zidane …

Soma zaidi
Debi ya Milan Imevunja Rekodi Serie A
Football

Debi kati ya Inter Milan na AC Milan inayofahamika kwa jina la Derby della Madonnina imevunja rekodi ya Serie A kwa kuwa debi ambayo imeingiza pato kubwa zaidi. Debi hii …

Soma zaidi
Ushangiliaji Mpya Unamponza Ronaldo!
Champions League

Mshambuliaji wa Juventus, Cristano Ronaldo anaripotiwa kuwa chini ya uchunguzi kufuatia ushangiliaji wake mpya kwenye gemu dhidi ya Atletico Madrid ambayo alichapa magoli matatu na kuisaidia klabu yake kuingia hatua …

Soma zaidi
Baada ya PSG, Tunanyoka na Barca -Ole Gunnar
Champions League

Ole Gunnar anaamini vijana wake wanaweza wakatoboa moja kwa moja kwenye hatua ya nusu fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya droo kuwapa Barcelona kama mpinzani wao kwenye hatua …

Soma zaidi
Sanchez: Sing’oki Ng’o!
Football

Alexis Sanchez yupo tayari kuendelea kusalia OT kupigania namba yake chini ya kikosi hicho kinachoendelea kusukwa kwa sasa. Pamoja na kwamba matajiri wa klabu hiyo wanatamani endapo mchezaji huyo kama …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.