Conor na Ronaldo…
Champions League

Nyota wa UFC, McGregor amemzungumzia Ronaldo kutokana na historia yake na aina ya matokeo anayoleta kwenye soka na zao analolitoa katika klabu yake mpya ya Juventus kwamba ni mchezaji ambaye …

Soma zaidi
Rashford Akosa Mazoezi ya Mwisho!
Daily News

Huenda kampeni ya kusaka nafasi ya kushiriki michuano ya EURO 2020 ikaanza bila ya baadhi ya nyota katika vikosi vya baadhi ya timu za taifa kutokana na majeraha ya baadhi …

Soma zaidi
Mashabiki Wanatia Mgomo Sarri Atimuliwe!
Football

Katika soka mashabiki wamekuwa na nguvu sana katika kushinikiza baadhi ya maamuzi ya timu. Mashabiki huungana na wachezaji, kwa nafasi yao huwa wanakuwa na shinikizo lenye nguvu sana kwenye mamlaka …

Soma zaidi
FIFA Wamfungia Maisha Refarii Fagla
Football

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA wamemfungia Kokou Hougnimon Fagla ambaye alikuwa ni refarii kujihusisha na soka kwa maisha yake yote baada ya kupatikana na hatia ya rushwa. Kamati ya Maadili …

Soma zaidi
Kumbe Real Madrid ni Ndoto ya Pogba!
Football

Kila mchezezaji mkubwa huwa na ndoto ambayo amekuwa akitamani kuitimiza kama mchezaji wa kulipwa, matamanio ya wachezaji hutofautiana na sio klia mchezaji huamua kuweka suala kama hilo wazi. Staa wa …

Soma zaidi
“Bado Siamini Kabisa!” – Mbappe
Champions League

Raha ya mechi ni ushindi siku zote lakini inapotokea upande mmoja unapoteza hugeuka na kuwa majonzi kwa wale wanaopoteza mechi husika. Hilo siku zote lipo na halizuiliki kabisa kutokana na …

Soma zaidi
Robo Fainali ya CAF
Daily News

Baada ya michezo yote kumalizika huku baadhi ya klabu zikivunja historia kubwa za ushiriki ndani ya michuano hiyo ya klabu bingwa Afrika sasa shirikisho la mpira wa miguu Afrika limepata …

Soma zaidi
Tambo za Wilder Akimsubiri Breazeale
Boxing

Bingwa wa dunia wa ndondi za uzani wa juu Deontay Wilder anatarajiwa kutetea ubingwa wake dhidi ya Dominic Breazeale kule Newyork mwezi Mei. Pambano la Barclays Center liliamuliwa na WBC …

Soma zaidi
McGregor Alikwapua na Kuivunja Simu ya Shabiki
Boxing

Mpiganaji wa ndondi mchanganyiko McGregor aliwekwa kizuizini na na polisi wa America baada ya kuripotiwa alipokonya na kuivunja kwa makusudi simu ya shabiki nje ya klabu ya usiku ya Florida. …

Soma zaidi
James Harden Achapa Rekodi Mpya NBA
Basketball

Mlinzi wa Houston Rockets, James Harden amechapa rekodi mpya katika historia ya NBA kwa kuwa mchezaji wa kwanza aliyeweza kushinda angalau magoli 30 dhidi ya wapinzani wote 29 kwa msimu …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.