“Nimeota vya Kutosha! Imetimia!” – Ole
Ilikuwa kama stori lakini imegeuka na kuwa historia sasa. Man United wamemkabidhi mikoba ya kudumu kocha wao aliyekuwa anaiongoza klabu hiyo kwa muda, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kipindi kirefu …
“Ramos Anastahili Ballon d’Or!” – Figo
Mkongwe wa klabu ya Real Madrid ambaye aliacha historia kubwa kikosini hapo, Luis Figo anaonelea kwamba nyota wa muda mrefu na kiongozi wa wachezaji uwanjani na kikosini hapo, Sergio Ramos …
Ubabe wa Federer na Nadal
Nyota wa tenisi, Roger Federer amekumbushia historia yake ya maisha ya tenisi kwa miaka 15 iliyopita siku alipokutana kwa mara ya kwanza uwanjani na Rafael Nadal na alipopoteza mechi …
Rasmi Solskjaer Alamba Dili Kudumu United!
Kama ilivyokuwa matarajio ya wengi, na ilivyokuwa hamu ya wapenzi wa Manchester United ambao wanamsapoti aliyekuwa meneja wa mda mfupi Ole Gunnar Solskjaer, hatimae meneja huyu amechaguliwa kuwa meneja kwa …
Hernández Kutua Munich
Bayern Munich nao hawajawa kwenye ubora wao katika siku za usoni kitu ambacho bado kinawapa nafasi ya kufanya vibaya kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki. Ikumbukwe Bayern alikuwa kisiki cha ushindani akileta …
Usajili: Pogba na Madrid
Furaha ya mchezaji katika maisha yake ya soka ni kuona kwamba anatengeneza wasifu wa pekee ambao huweza kuwa tofauti na mtu mwingine kitu ambacho humfanya yeye kuwa na upekee fulani …
Viungo Bora Duniani kwa Sasa
Luka Modric amekuwa mchezaji wa kihistoria baada ya kutwaa tuzo ya Ballon d’Or ambayo haihusishi uwepo wa Messi na Ronaldo kwa miaka ya hivi karibuni. Mchezaji huyo ametwaa tuzo hiyo …
United Wamebadili Mpango wa Usajili
Klabu ya Manchester United inadaiwa kubadilisha mipango yao ya uhamisho, wakipanga kuwatazamia zaidi vijana kwenye sera yao ya uhamisho kwenye madirisha yajayo ya uhamisho. Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa …
Msingi Kikosi, Mpango wa Klopp Akipania Taji!
Jurgen Klopp anapania kuwapa Liverpool Taji la kwanza baada ya miaka 29. Klopp anaamini yeye na kikosi chake huu ndio wakati wao wa kumaliza kiu ya taji klabuni hapo baada …
Ni Pesa Nyingi Sana!
United watatakiwa kulipa hela ya kihistoria itakayovunja rekodi nyingi zilizowekwa kama bado wana uhitaji wa kumnasa mlinzi wa timu ya taifa ya Uingereza, Harry Maguire. Hilo linakuja pale ambapo mchezaji …

