‘Ni Inter au Juve tu Watamuweza Zaniolo’
Football

Baba wa staa wa Roma Nicolo Zaniolo bwana Igor Zaniolo aneweka wazi kuwa klabu za Inter na Juve ndiyo klabu pekee kutoka Italia zinazoweza kumnunua nyota huyu. Zaniolo anatarajiwa kusaini …

Soma zaidi
Maurinho Ataweka Mambo Shwari Inter
Football

Maurinho ametajwa kuwa meneja anayefaa klabuni Inter Milan akitarajiwa ataweza kurejesha hali ya hewa kuwa shwari baada ya mvurugano wa hapa na pale klabuni hapo kufuatia sakata la Mauro Icardi. …

Soma zaidi
Simeone: Hatumuogopi Messi kwa Barcelona!
Football

Meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone amekanusha maneno kuwa wanamgwaya Lionel Messi wakiwa kwenye maandalizi ya kukutana uso kwa uso na mahasimu wao Jumamosi hii. “Hatumuogopi Messi… Valverde anafanya kazi …

Soma zaidi
Spurs: Machozi Yalimwagika Dimba Jipya
Football

Tottenham Hotspurs walikuwa wakisubiri kwa hamu sana kurejea kwenye uwanja wao mpya wa byumbani baada ya kucheleweshwa kwa mda kidogo. Bila shaka ilikuwa ni hamu kubwa ya klabu hii, hata …

Soma zaidi
Sterling Ashusha Neema Shule Aliyosoma
FA Cup

Staa wa Manchester City, Raheem Sterling ameamua kuwafurahisha watoto wa shule aliyosoma zamani, kitaa tunaita Oldi Skuli. Nyota huyu ameamua kuwawezesha watoto katika shule hiyo ambayo aliisoma zamani kuhudhuria gemu …

Soma zaidi
“Hazard ni Mkongwe Tayari!” – Drogba
Champions League

Inapotokea mchezaji anafanya vizuri hupewa hadhi yake anayostahili kwa mazuri anayoyafanya na kuonekana mbele za watu kwamba ni jambo kubwa na la pekee anafanya. Nafasi hiyo hutokana na mchango anaoutoa …

Soma zaidi
Hawa Barcelona Sasa…
Daily News

Klabu inapomhitaji mchezaji fulani ni dalili nzuri kwamba mchezaji husika ana thamani kubwa na ana kitu cha pekee ambacho wao wamekiona kinaweza kuwa msaada mkubwa kwenye kikosi chao kwa wakati …

Soma zaidi
Messi Mbele ya CR7 Kwa Ligi 5 Bora Ulaya
Football

Lionel Messi ameendelea kuwa na rekodi bomba ya soka baada ya kufikisha idadi kubwa zai9di ya magoli katika ligi kubwa 5 za ulaya. Messi ameingia kwenye rekodi na kuwa mbele …

Soma zaidi
Pogba Hatii Kazi Ipasavyo United?
Football

Pogba alirejea vyema kabisa baada ya ujio wa Ole Gunnar kama meneja wa mda kabla hajapewa mkataba kama meneja kudumu klabuni hapo. Manchester United wamepoteza gemu nyingine dhidi ya Wolves …

Soma zaidi
Pele: Mbappe Hahitaji Kusepa PSG Kuwa Bora
Champions League

Nyota Kylian Mbappe, ambaye ana miaka 20 anafurahia msimu wake bomba pale PSG akiwa amefunga magoli 31 kwenye gemu 35 za michuano yote klabuni hapo. Pele anasema nyota huyu hahitaji …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.