Callum Hudson-Odoi Atanasa Kwenye 18 ya Nani?
Football

Manchester United wanaripotiwa kuunga tela kumfukuzia Callum Hudson-Odoi ambaye Bayern Munich pia wanamtupia jicho wakijiandaa kuweka pesa mezani kwa ajili yake. Chelsea bado wanamtaka pia licha ya ukimya uliopo. Kwa …

Soma zaidi
Nicolo Barella Anaviziwa na Arsenal
Football

Arsenal wanaripotiwa kuwa wametuma wawakilishi kwa ajili ya kumtupia kijicho staa wa Cagriali Nicolo Barella wakati akijichapia goli lake la kwanza kwenye gemu ya kimataifa akiwana timu yake ya taifa …

Soma zaidi
Hazard Akana Kusaini Real Madrid
Daily News

Nyota wa Chelsea, Eden Hazard amekanusha taarifa kwamba amekubali kujiunga na Real Madrid kwa mkataba wa miaka mitano. Mkataba wa Hazard, Chelsea unamalizika mwishoni mwa msimu ujao na taarifa zimeanza …

Soma zaidi
Jose Mourinho: Najiandaa kwa Kibarua Kipya
Football

Aliyekuwa meneja wa Manchester United kabla hajatimuliwa Jose Mourinho, sasa anasema yupo katika maandalizi ya kukipokea kibarua kingine cha umeneja katika msimu wa joto unaokuja. Bwana huyu ambaye pia amewahi …

Soma zaidi
Tushinde Tukiwa na Ronaldo Au Bila Yeye -Santos
Football

Kocha mkuu wa Ureno Fernando Santos hajafurahishwa na matokeo ambayo timu yake wameyapata dhidi ya Ukraine Ijumaa. Katika kuzungumzia sababu za kukosa ushindi anasema yeye anaitazama timu nzima kwa ujumla …

Soma zaidi
Bahati Mbaya ya Messi Akirejea Argentina
Football

Messi amekuwa na bahati mbaya akirejea kikosini Argentina kwa kushindwa kuona nyavu huku akipata jeraha wakati timu yake ya taifa ikikubali kichapo cha bao 3-1 dhidi ya Venezuela. Nyota huyu …

Soma zaidi
Hazard Huyooo…!
Daily News

Inaonekana kabisa kwamba baada ya Zidane kuwasili Blancos hapo kuna mazungumzo ya mwanzo yamejadiliwa ili kuangalia kama mchezaji huyo ataweza kutua Bernabeu huku kocha huyo akiwa amekabidhiwa kikosi hicho akifanyie …

Soma zaidi
5 za Barcelona na United
Champions League

Baada ya makundi ya robo fainali ya klabu bingwa barani Ulaya kupangwa na baadhi ya klabu kukutana katika mechi zinazotegemewa kuwa ni ngumu na zenye kuvutia ambazo ni kati ya …

Soma zaidi
Mbio za Barca na Real kwa Skriniar
Football

Real Madrid na Barcelona wanataka kumsajili Milan Skriniar wa pale Inter Milan. Kwa mujibu wa wakala Mithat Halis, yeyote kati ya Barca na Real anaweza kumnasa staa huyu. Skriniar alitimba …

Soma zaidi
Solskjaer Pekee Ndiyo Anastahili Umeneja -Rooney
Football

Nyota wa zamani wa klabu ya Manchester United Wyne Rooney anasema kuwa yeye anaona hakuna mtu yeyote mwingine anayefaa kupewa nafasi ya umeneja wa kudumu klabuni United zaidi Ole Gunnar …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.