PSG Waliwachukulia Poa Man Utd -Kimpembe
Wakati PSG wakiwa wanaendelea kuuguza jeraha lao la kutemwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu baada ya kuchapa bao 1-3 wakiwa nyumbani, Presnel Kimpembe anasema …
Mario Balotelli anataka kusalia Marseille
Mario Balotelli ameweka wazi kuwa anataka kuendelea kusalia Marseille hata baada ya msimu huu kuisha akisisitiza kuwa klabu hiyo ipo lrvo nyingine ukifnanaisha na Nice. Balloteli alichapa jumla ya …
Tenisi: Yaliyojiri Kule Indian Wells
Michuano ya tenisi ya Indian Wells inaendelea kupamba moto huku baadhi ya washiriki wakitoboa kuingia raundi ya tatu ya michuano hiyo. Serena Williams ameweza kumlaza chali mpinzani wake. Serena …
Adidas Kuwalipa Wanawake Sawa na Wanaume
Msemo unaotaja kuwa wanawake wakiwezeshwa wanaweza unaanza kupotea, msisitizo unawekwa katika usawa kwa jinsia zote mbili! Adidas hawako nyuma. Jitihada za kusisitiza na kutetea usawa katika nyanja zote za …
Man City Sio Levo za Barca, Madrid na Bayern
Kwa mujibu wa meneja Pep Guardiola, Manchester city haiwezi kuwekwa kwenye levo za Real Madrid Barcelona au Bayern Munich ambao tayari wameshafikia sehemu fulani ya mafanikio. Pep Guardiola ambaye …
Zlatan: Baada ya Soka…
Miongoni mwa wachezaji ambao wameweza kujijengea heshima kubwa sana katika soka ni Ibrahimovic kutokana na kuyaishi maisha yake halisi katika ubora, uwezo na hata kutumia mbinu zake zote kuzipaisha …
Nani Alistahili Heshima?
Pongezi ni kitu ambacho kila mmoja hupenda kufanyiwa pale anapoonekana kufanya jambo fulani au kitu fulani kwa mafanikio makubwa. Jambo hilo mara nyingi huchochea utendaji kazi na mara nyingi …
Wachezaji Wenye Majina Magumu na Marefu
Kwa takwimu zinazoishi, mpira wa miguu ni mchezo ambao unafuatiliwa sana duniani iwe ni kwa kuangaliwa au kuwa na mashabiki wengi. Ni mchezo ambao unafuatiliwa na zaidi ya watu …
Valverde: Tulitarajia Messi Kuichezea Argentina Tena
Haijawa suala la kushangaza kwa Messi kurejea kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Argentina. Valverde anasema kuwa kila mu alitarajia Lionel Messi kuichezea Argentina tena. Messi hajaingia dimbani …
Klopp: Liverpool Wafurahie Kuwafukuzia Man City
Bosi Jurgen Klopp anasema kuwa Liverpool wanapaswa kuwa na mawazo chanya, wanapaswa wafurahie wakiwa wanawafukuzia Manchester City. Watata hawa baada ya kutoa sare kwenye gemu 4 za Ligi wamejikuta wakiwa …

