Cassano Amemchana Mkewe Icardi
Kumekuwa na stori kibao kuhusu hatma ya Mauro Icardi klabuni Inter Milan na kuhushwa kwake na vilabu mbalimbali. Mkewe Icardi Wanda Nara ambaye pia ni wakala wa mchezaji huyo ameonekana …
Kane Amesanda Kuwa Wamefeli
Tottenham wameshuhudia matumaini yao ya kutwaa taji la Ligi Kuu Uingereza yakiyoyoma baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Burnley na Chelsea kabla hawajalazimisha sare na Arsenal. Harry Kane anakubali kuwa …
Nje Ndani za Madrid
Madrid wamepoteza mechi yao ya pili mfululizo mbele ya Barcelona ambao wamekuwa kwenye msimu mzuri sana kwa sasa. Mechi hizo zote mbili wamezipoteza wakiwa nyumbani kwao ambapo mechi ya kwanza …
Bale Anawapa Hasara Real Madrid
Hali imekuwa sio Hali wakati matumaini ya Real Madrid kutwaa taji la LaLiga msimu huu yakitoweka. Baadhi ya wadau wamekuwa wakilaumu kuwa Bale hafanyi kazi ile ambayo anatarajiwa kufanya klabuni …
Liverpool Mbioni Kumnasa Maxi Gomez
Liverpool wanaripotiwa kuwa katika matazamio ya kuamua kumnasa mshambuliaji wa Celta Vigo Maxi Gomez huku nyota huyu akidaiwa kupigiwa upatu na Luis Suarez. Kwa mujibu wa The Sun, staa wa …
Juve Waendeleza Utawala…
Kama ilivyo kawaida wanasema mwenye bahati zake ametua ndani ya Italia na uwezo wake wote. Imekuwa kawaida sasa hivi kwa wababe wa vikombe ndani ya taifa hilo kushinda mechi zao …
Cassano Amemchana Mkewe Icardi
Kumekuwa na stori kibao kuhusu hatma ya Mauro Icardi klabuni Inter Milan na kuhushwa kwake na vilabu mbalimbali. Mkewe Icardi Wanda Nara ambaye pia ni wakala wa mchezaji huyo ameonekana …
Nje Ndani za Madrid
Madrid wamepoteza mechi yao ya pili mfululizo mbele ya Barcelona ambao wamekuwa kwenye msimu mzuri sana kwa sasa. Mechi hizo zote mbili wamezipoteza wakiwa nyumbani kwao ambapo mechi ya kwanza …
City Kutumia Paundi 350M Usajili
Timu zimeanza kuweka mezani mipango ya kutumia pesa nyingi kuwabamba wachezaji wakali msimu huu unakuja wa joto. Manchester City kama klabu zingine nao kama kawaida wapo kwenye mpango wa kukipa …
Kikwazo Man U Kumnasa Jadon Sancho
Mashetani wekundu wanadaiwa kuwa kwenye mpango kabambe wa kumwaga pesa kumnasa nyota wa Borussiaa Dortmund Jadon Sancho. Tetesi zinadai kuwa Man U wamekutana na kikwazo cha kumnasa nyota huyu anayeripotiwa …