Wazee wa Kupindua Meza…
Habari sio zilezile tena, hii Manchester inatukumbusha ile iliyokuwepo miaka ya 2000 chini ya Sir. Alex ambayo haikuwa na wasiwasi kabisa hata ikifungwa magoli matatu ambayo kwao ilikuwa ni …
Guardiola Vs Zidane Umeneja Juventus
Kuna taarifa kuwa meneja wa klabu ya Juventus, Maxi Allegri anatarajia kusepa klabuni hapo kwenye msimu wa joto unaokuja. Klabu ya Juventus wanadaiwa pia wapo kwenye maandalizi ya kumtafuta …
Kwaheri Lukaku, Njoo Dyabala!
Taarifa zinadai kuwa United wanajiandaa kufanya uhamisho mkubwa wa paundi milioni 120 kwa ajili ya Paulo Dyabala kama wakimpungia mkono wa kwaheri Lomelo Lukaku klabuni hapo. Manchester United wanaripotiwa kuwa …
Nani Kulipa Kisasi?
Siku ya kisasi! Kama ilivyo kawaida Man United wanaenda kukutana na PSG katika mchezo utakaokuwa wa kukata kwa shoka. Huku United akijua fika kwamba yupo nyuma kwa magoli mawili …
UEFA: Nini Kimewakumba Madrid!
Haya ni kama mafuriko yanayowakuta Madrid kila wanapojaribu kujinasua kwa kujishikilia katika majani yanayopatikana ndani ya mto waliomo. Inaweza kuwa sio dalili njema sana kwa timu ambayo ilikua mshindi …
M-Sport Hits 250 At Happy Hunting Ground
All right. Well, take care yourself. I guess that’s what you’re best, presence old master? A tremor in the Force. The last time felt it was in the presence of …
Atamani Kibarua cha Madrid
Mourinho anatamani sana na haoni tatizo lolote hata kama leo hii akaitwa kuifundisha Madrid ambayo ana historia nayo tangu kipindi kirefu na anajua mambo yote yaliyopo ndani ya klabu hiyo. …
Kurudi kwa UEFA
Ni ndani ya wiki nyingine ya mzunguko wa pili ligi ya mabingwa barani Ulaya ambapo timu nane zitashuhudiwa zikiumana viwanjani huku kila moja ikitafuta nafasi ya kufuzu kuelekea hatua inayofuata. …