LaLiga Kutochezwa Tena Jumatatu!
Mechi za LaLiga zitakuwa hazichezwi tena siku ya jumatatu! Hii ni taarifa kutoka kwa raisi wa shirikisho la soka la Uhispania bwana Luis Rubiales. Unaionaje hii mechi za LaLiga kutochezwa …
Wanaofanya Vizuri Safu ya Ulinzi
Kwa kadri siku zinavyosonga mbele majukumu ya ulinzi nayo yamekuwa yakibadili mwekekeo wake, kutoka katika hali iliyokuwepo hapo awali ya kwamba kazi ya mabeki ni kulinda na kuzuia mipira isiweze …
Bado Wanafumania Nyavu…
Furaha ya mchezaji hususani mshambuliaji hukamilika pale anapoona ana mafanikio makubwa ya kuipa ushindi timu yake na kuandika historia ya kuifungia timu yake idadi fulani ya magoli ambayo kwa namna …
Mikataba ya Matangazo
Michezo ni miongoni mwa biashara kubwa na nzito sana ambayo wenye uelewa na akili juu ya biashara hiyo na aina ya uwekezaji unaofanywa hapo anaweza kuona kama mambo yanayofanyika ni …
Kiukweli Solskjaer Anamkuna Lukaku
Meneja wa Mpito wa Manchester United ameendelea ku8bamba sana kwenye soka la Ulaya na kuwa changamoto mpya kwa vinara wa Ligi ya Uingereza toka alipochukua majukumu ya mda ya umeneja …
Guardiola: Wakati Mgumu kwa Man City
Pep Gualdiola anaamini kuwa klabu yake ipo kwenye wakati mgumu zaidi kushugulikia hali ya wachezaji klabuni hapo kufuatia shida ya majeraha. Wachezaji kama Aymeric Laporte, John Stones na Gabriel Jesus …
Kufungwa Si Kuishiwa Mbinu!
Inaonekana kabisa kwamba Santiago Solari alijua nini kitatokea kwa kikosi chake pindi atakapokutana na miamba wenzao wa soka nchini Hispania. Imezoeleka kwamba wawili hao wanapokutana mchezo wao hutawaliwa na ufundi …
Macho ya Barcelona kwa Andre Onana
Taarifa zinaripoti kuwa klabu ya Barcelona bado inatupia macho yake kule Ajax, wakiwa wanamlenga golikipa Andre Onana. Kwa mujibu wa wakala wa golikipa huyu Barcelona baada ya kumaliza dili la …
9 Nje United Wakiwavaa Crystal Palace
Manchester United wanatarajia kuwakosa wachezaji wao 9 wakiwavaa Crystal Palace leo. Meneja wa mpito wa Man Utd, Ole Gunnar amethibitisha kwamba watawakosa baadhi ya wachezaji lakini haibadilishi lengo la timu …
Historia Mbovu Ndani ya UEFA…
Kuna baadhi ya mameneja hawajawahi kubahatika hata mara moja kunyanyua ndoo ya klabu bingwa Ulaya pamoja na historia nzuri waliyonayo katika soka hilo. Kama ilivyo historia ya michuano hiyo kwa …

