Solskjaer: Ni Liverpool Yenye Ukame wa Taji
Ole Gunnar amewachana Liverpool kama klabu yenye ushindani mkubwa lakini ina ukame wa mataji! Anasema kitu kama hiki hakitakiwi Manchester United. Manchester United wamekuwa washindani wakubwa katika miongo kadhaa na …
Leicester Wamemtumbua Claude Puel
Klabu ya Leicester City wamemtumbua aliyekuwa meneja wa klabu Claude Puel hiyo baada ya kuonekana ameshindwa kuwapatia matokeo ambayo wanayatarajia au kuyahitaji zaidi katika kipindi hiki. Meneja huyu anaripotiwa kuwa …
Mbappe na Di Maria Wanamkosha Tuchel
Vijana wa Paris Saint Germain -PSG, Angel Di Maria na Kylian Mbappe wanamkosha meneja wa klabu hiyo bwana Thomas Tuchel kwa ushirikiano wao kama pea wanavyokuwa dimbani. Watabe hawa wa …
Chelsea Wapitiwa na Makucha ya FIFA
Klabu ya Chelsea imepigwa nyundo ya kutokufanya usajili wowote kwa muda wa misimu miwili na Shirikisho la Soka la Dunia. Adhabu hiyo imekuja wakati klabu hiyo ikiwa katika kipindi cha …
Lingard, Martial Ndani Kuwavaa Liverpool
Manchester United wanakabiriwa na moja ya gemu ngumu na muhimu ili waendelee kupambania nafasi yao ya kumaliza katika 4 bora kama ili waweze kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya. Anthony Martial …
Sarri Anahusishwa Kwenda Roma!
Klabu ya Chelsea imekuwa ikipata matokeo mchanganyiko siku za hivi karibuni huku kutoridisha kwa matokeo kukichukua nafasi kubwa. Sarri amekuwa akishikiwa kidedea na baadhi ya mashabiki kuwa asepe klabuni hapo, …
Mazao Ambayo Barca Inatamani Kuyarudisha
Ni utamaduni kwa klabu kubwa kuwa na academy ambazo huwa na nia ya kuzalisha wachezaji ambao wataweza kukidhi mahitaji ya klabu zao au hata kuwauza wachezaji hao nje kwa klabu …
Nigeria: Ambao Hawajawahi Kucheza Huko
Nigeria ni miongoni mwa nchi zinazoheshimika duniani hasa upande wa soka. Ina wachezaji wengi wenye vipaji na uwezo mkubwa sana. Pamoja na hilo kuna wachezaji ambao hawajawahi kugusa majina yao …
Wenye Utajiri Mkubwa…
Wachezaji wengi wenye utajiri mkubwa duniani huupata kutokana na mikataba yao inayowajali na kuwafanya kuwa huru kufanya mambo mengi bila kuwa na mipaka; vilevile baadhi ya tuzo na nyongeza mbalimbali …
Rudiger Amkingia Kifua Sarri
Mlinzi wa klabu ya Chelsea, Rudiger ameamua kutoa yake ya moyoni kuhusiana na taarifa zinazoendelea miongoni mwa mashabiki wa kikosi hicho kuhusu mwalimu wao na mfumo unaotumika kikosini hapo hadi …

