Neymar Alimwaga Machozi Siku2!
Staa wa Paris Saint German -PSG Neymar ametoboa siri kuwa alimwaga machozi kwa siku 2 mfululizo baada ya kupata jeraha lake la pili mwezi uliopita lililofanana na lile alilolipata mwanzo …
Messi Atasalia Tu
Rais wa klabu ya Barcelona, Josep Maria Bartomeu hana wasiwasi juu ya kusalia kwa Messi ndani ya kikosi chao katika msimu ujao huku kandarasi yake ikiwa inaelekea ukingoni kwa sasa. …
Robo Fainali ya FA
Baada ya mechi za awali kupigwa na matokeo kupatikana hatua inayoelekea kwa sasa ni robo fainali ambapo timu hizo zitaumana tena ili kupata timu zitakazoelekea hatua ya nusu fainali. Ndani …
Usiku wa Ligi ya Mabingwa
Baada ya mechi kadhaa kupigwa wiki lililopita leo michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya inarejea tena viwanjani kwa mitanange mikali inayotegemewa kuwa na ushindani wa kusisimua sana kitu ambacho …
Prince Amekanusha Kuinunua United
Kulikuwa na taarifa kuwa mwana wa mfalme wa Saudi Arabia, Prince Mohammed Bin Salman kuwa anahitaji kuinunua klabu ya Manchester United na yupo mazungumzoni kukamilisha dili hilo kwa ofa ya …
Juve Kwenye Orodha ya Wamiliki Matajiri
Klabu ya Juventus ipo kwenye orodha ya klabu ambazo zinamilikiwa na wamiliki matajiri zaidi. Klabu hii inashikilia nafasi ya 3 kwenye chati wakati wapinzani wao Inter Milan wakiwa nafasi ya …
Robben: Anfield ni Dimba Baya!
Veterani anayekipiga katika klabu ya Bayern Munich Arjen Robben anasema kwa mtazamo wake Anfield ndiyo dimba baya zaidi kwake wakati wakifanya maandalizi kuelekea kwenye gemu na Liverpool dimbani hapo. Mabingwa …
Icardi Atabaki Inter -Mkewe Nara
Mauro Icardi ameripotiwa kuwa katika kipindi fulani cha sintofahamu pale klabuni Inter Milan huku akivuliwa unahodha klabuni hapo. Baadhi ya tetesi ziliripoti kuwa suala hilo linahusiana na mipango yake ya …
Hatua Kubwa Aliyopiga Shaqiri
Nyota wa Liverpool Xhedran Shaqiri amewathibitishia kuwa yeye siyo mtu wa mchezo mchezo wale waliokuwa wanadhani ataenda kuboronga klabuni Liverpool. Shaqiri amepiga hatua kubwa tangia alipoingia klabuni hapo. Msimu huu …
Namba 4 za Ed Woodward
Baada ya kipindi cha fungate cha kocha wa mpito wa United, Ole Gunnar Solskjaer kuisha kutokana na kupokea kichapo kutoka kwa mabingwa wa Ufaransa PSG katika hatua ya 16 bora …

