Uzao wa 3 wa Ronaldo
Football

Hakuna atakayebisha katika historia ya soka juu ya uwezo wa Cristiano Ronaldo ambaye amekuwa mchezaji bora wa wakati wote ndani ya kikosi chake cha timu ya taifa na katika klabu …

Soma zaidi
Makombe Yenye Dau Nono!
Football

Mpira wa miguu ni miongoni mwa michezo rafiki sana duniani. Mchezo huu unapendwa, kuheshimiwa na idadi kubwa sana ya mashabiki. Kuna wakati mwingine huibua hisia nzito pale unapoona timu unayoishangilia …

Soma zaidi
Wapewe Heshima Zao…
Football

Ligi ya Uingereza ni kati ya ligi zinazofuatiliwa sana na watu ulimwenguni kote. Kitu hicho kinaifanya ligi hiyo iweze kuwa maarufu zaidi siku zote. Lakini pia inaheshimika kwa kuwa na …

Soma zaidi
Mourinho Anataka Umeneja Msimu Ujao
Football

Mkongwe katika majukumu ya umeneja wa klabu za soka, Jose Mourinho ambaye alitimuliwa na Manchester united mwishoni mwa mwaka uliopita anasema anataka kurejea kwenye umeneja msimu ujao. Meneja huyu amekiri …

Soma zaidi
Balotelli Mbioni Kuitwa Kikosini Taifa!
Football

Mario Balotelli yupo mbioni kuitwa kuitumikia timu yake ya Taifa! Meneja wa timu ya taifa ya Italia Roberto Mancini amethibitisha kuwa anamfuatilia kwa ukaribu zaidi nyota huyu kujua kama anaweza …

Soma zaidi
Tuko Gado kwa Lolote -Lukaku
Football

Klabu ya Manchester United wanaendelea kujiweka kuwa bora zaidi. wakiwa wanafanya vyema katika matokeo yao ya hivi karibuni toka wawe chini ya Ole Gunnar huku matokeo pekee mabaya zaidi kuyapata …

Soma zaidi
Sintofahamu Kepa Kugomea Sabu kwa Sarri
News

Gemu ya fainali ya Carabao Cup imewaacha chelsea wakipoteza matumaini ya kunasa taji msimu huu huku kukiwa na ushindani mkubwa kwa gemu zote. Wakati gemu ikiwa ngumu na wababe wakichuana …

Soma zaidi
Si United Wala Liverpool…
Football

Mechi iliyokuwa ya aina yake kati ya wapinzani wawili wenye vikosi imara, United na Liverpool iliyotawaliwa na ufundi mkubwa na wa aina yake ambapo kila mmoja alikuwa anaangalia namna anavyoweza …

Soma zaidi
Chelsea Aendelea Kuwa Mteja!
Football

Chelsea wamekutana na City kwa awamu nyingine lakini ikiwa ni katika fainali ya kwanza kabisa ndani ya msimu huu na katika taifa hilo kuanza kushuhudiwa. Mchezo huo wa fainali ya …

Soma zaidi
Messi Ametandika Hat-Trick 50!
Football

Huyu ndiye Lionel Messi, fundi wa Barcelona ambaye asipokuwepo tu dimbani pengo lake halizibiki! Bwana huyu ametandika Hat-Trick yake ya 50 kwenye gemu dhidi ya Sevilla jana wakipata ushindi wa …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.