Usajili Hatari wa Juve Kutoka Uingereza
Football

Baada ya fununu za muda mrefu kwamba Ramsey amesaini kuichezea Juventus kwa msimu ujao, mchezaji huyo raia wa Wales amesaini kandarasi inayomuweka klabuni hapo hadi 2023; atakuwa analipwa kiwango cha …

Soma zaidi
Mbappe Achana Rekodi Nyingine
Football

Mbappe ameweza kufikia rekodi nyingine iliyowahi kuwekwa na raia wa Brazil, Ronaldo Luís Nazário de Lima ya ufungaji wa magoli katika michuano mikubwa kabisa barani Ulaya ya klabu bingwa. Akiwa …

Soma zaidi
Rabiot Ameamua Kuchagua Timu
Football

Kiungo wa PSG Adrien Rabiot ameamua kufanya maamuzi magumu klabu gani ataenda wakati akiripotiwa anawavutia klabu za Arsenal, Liverpool, Tottenham na Barcelona. Nyota huyu ambaye anazivutia klabu kubwa zaidi Ulaya …

Soma zaidi
Iglesias Awachomolea Everton na Westham
Football

Straika wa Espanyol, Borja Eglesias awachomolea klabu za Ligi Kuu Uingereza akidai kuwa yeye bado anajiona kuwa ataendelea kuwepo klabuni hapo. Straika huyu mwenye miaka 26 anaripotiwa kuwa amekuwa kivutio …

Soma zaidi
Kurejea kwa Alex Ferguson United
Football

Klabu ya manchester united imethibitisha kuwa aliyekuwa meneja wa klabu hiyo, Alex Ferguson ataiongoza klabu hiyo kwenye mechi ya muhimu ya kumbukumbu  pale Old Trafford mwezi Mei. Unashangazwa na mkongwe …

Soma zaidi
Namba za Jezi Zilizowekwa Kabatini
Football

Kuna historia ambayo mara nyingi hujificha ndani ya jezi fulani zinazovaliwa na wachezaji wa klabu mbalimbali wanazozichezea. Baadhi ya namba huwa na maana kubwa kwa wachezaji wanaozitumia. Bayern Munich wao …

Soma zaidi
Sakata la Özil na Emery…
Football

Hivi karibuni kumekuwa na mazingira ya kutunishiana misuli kati ya kocha wa Arsenal na maisha ya mchezaji Özil ambaye anakipiga katika kikosi hicho kwa kipindi kirefu kwa sasa huku akiwa …

Soma zaidi
Valverde Ameangusha Saini Mkataba Mpya
Football

Meneja wa Barcelona Elrnesto Valverde ameangusha saini kwenye mkataba mpya unaomuongezea mwaka mmoja wa kuwepo klabuni hapo. Mkataba huu mpya unaendelea kumuweka klabuni hapo hadi mwaka 2020, mkataba huu pia …

Soma zaidi
Wapiga Vyenga Hatari Duniani…
Football

Soka sio kushuhudia magoli tu namna yanavyofungwa nyavuni bali inachangiwa na ule ufundi unaooneshwa na wachezaji uwanjani ili kuyapata magoli hayo, na hapo ndipo tunasema mchezaji fulani amekamilika na anafaa …

Soma zaidi
Ligi Tajiri Afrika
Football

Pamoja na kuwa na ligi nyingi sana duniani lakini kuna ligi chache zinazopewa sana heshima na kufahamika na watu wengi, na wakati mwingine hata umaarufu na kufuatiliwa kwa ligi hizo …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.