Straika wa Espanyol, Borja Eglesias awachomolea klabu za Ligi Kuu Uingereza akidai kuwa yeye bado anajiona kuwa ataendelea kuwepo klabuni hapo.
Straika huyu mwenye miaka 26 anaripotiwa kuwa amekuwa kivutio kwa klabu tajwa toka alipohamia Espanyol akitokea Celata Vigo msimu uliopita ameweza kuchapa mabao 10 kwenye gemu 21 za La Liga.
Kuna ripoti ambazo zimekuwa zikimhusisha na klabu za Ligi Kuu ya Uingereza, lakini nyota huyu ameamua kuweka wazi kuwa hafikirii kama huu anaojiona kusepa klabuni hapo, kwa sasa anatarajia kuendelea kubaki klabuni hapo.
Everton na West Ham walikuwa wametajwa kuwa wapo tayari kulipa paundi milioni 28 za mkataba wake ili waweze kuinasa saini yake.
“Najiona nikiendelea kubaki hapa na sioni sababu ya kufikiri tofauti, nina furaha hapa pia ninao mkataba.
Povel
Habar njema