PSG na Man U Kujibu Kesi Uefa
Baada ya PSG kufanikiwa kuwachapa Manchester United 2-0 kwenye gemu yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne, timu zote mbili sasa ziko kikaangoni wakiwa na tuhuma za kujibu kwa Uefa. …
Mwezi 1 Washikilia Kibarua cha Mtu!
Matajiri wa Chelsea wanaonekana kutopendezwa na mwenendo wa klabu hiyo hadi sasa, kutokana na kupokea vichapo mara kadhaa kitu ambacho kwao sio cha kawaida kabisa. Kutokana na kelele hizo ni …
Cheslsea: Zidane Kumng’oa Sarri!
Meneja wa sasa wa Chelsea Maurizio Sarri anaonekana ameshapoteza radha pale klabuni Chelsea kukiwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya wadau na mashabiki kuwa meneja huyu atimuliwe tu! Taarifa zinadai …
Wafungaji wa Muda Wote wa Barca
Kila klabu duniani huwa na aina ya wachezaji ambao hushikilia rekodi fulani ambayo huwa imeisaidia klabu hiyo kuwa katika hatua fulani kisoka. Baadhi ya klabu kubwa huwa na watu ambao …
Mwarabu Atafunwa Kweupe!
Baada ya kupokea zawadi ya mkono wa magoli katika mechi yao ya awali ambayo wekundu hao walicheza soka la hovyo kuwahi kulicheza katika historia yao ya soka kwa kati ya …
Itakuwaje Hazard Akitimkia Hispania?
Hazard amerudi juu tena kwenye vichwa vya habari kwa mara nyingine baada ya kuonekana kwamba amekwishaonja maisha ya klabuni hapo na sasa anaonekana kutaka kutimka klabuni hapo akajaribu maisha mengine …
Wanaofukuzia Kiatu cha Dhahabu 2019
Miongoni mwa tuzo zenye heshima barani Ulaya ni kiatu cha dhahabu ambacho hutolewa kwa mfungaji anayeongoza kwa kupachika mabao mengi kwenye ligi anayoichezea na kuonesha mchango mkubwa katika klabu yake. …
De Gea: Tutashinda Mataji
Golikipa fundi wa Manchester United, David de Gea anasema kuwa anaamini wana kikosi bora kwa sasa ambacho kitawafanya wajikusanyie mataji. Amezungumzia changamoto iliyopo kuelekea kuwakabili PSG kwenye Ligi ya Mabingwa …
Wanasaini Tu, ni Zamu ya De Gea!
Toka Manchester United ilipopata meneja mpya wa mpito bwana Ole Gunnar, wachezaji wamekuwa na ujasiri wa kuongeza mda wao klabuni hapo! Wachezaji ambao walikuwa wanasua sua kusaini mikataba mipya sasa …
Sarri Hatamzuia Hazard Kusepa!
Meneja wa Chelsea, Maurizio Sarru amesema kuwa hatamzuia nyota wa klabu hiyo Eden Hazatd kusepa klabuni hapo kufuatia mpango wake wa kujiunga na Real Madrid. Nyota huyu amekuwa akizungumiwa kuhusu …

