Sarri: Cheslea Wanipe Mda Kuboresha Timu
Football

Meneja wa Chelsea, maurizio sarri anasema anahitaji kupewa mda, na kuvumiliwa ili aweze kuweka mambo sawa klabuni hapo. Sarri amekuwa akiwalalamikia wachezaji wake kwa kutofuata maagizo yake wanapokuwa dimbani na …

Soma zaidi
Majibizano ya Klopp na Walker!
Football

Kawaida ya soka lazima kuwe na ushindani, na kila timu huwa inahitaji kufanya vizuri zaidi ya nyingine! Ili hii iweze kutokea lazima wawepo wa kushinda na wakupoteza gemu kwa nyakati …

Soma zaidi
Matukio ya Kushangaza Kombe la Dunia
Football

Kuna mambo hutokea kwenye mechi kubwa kama hizi za kombe la dunia na kuibua taharuki kwa baadhi ya mashabiki na viongozi mbalimbali wa soka. Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo …

Soma zaidi
Klabu Zinazomiliki Pesa 2019
Football

Soka sio mpira tu kwa namna unavyochezwa uwanjani bali pia ni namna klabu hizo zinavyojilinda kwa kutengeneza mapato yanayochangia kuziendesha klabu zao. Kwa kiwango kikubwa klabu zinazotajwa mara nyingi ndizo …

Soma zaidi
Cahill Amewakataa Juve, Monaco na Fulham!
Football

Mlinzi wa Chelsea, Gary Cahill anakabiliwa na mda mchache wa gemu klabuni Chelsea chini ya meneja Maurizio Sarri. Taarifa za mapema mwezo Januari ziliripoti kuwa nyota huyu angekuwa anasepa klabuni …

Soma zaidi
Wachezaji Matajiri wa Kiafrika
Football

Tunapozungumzia mafanikio katika soka, ni pale inapotokea mchezaji anaonesha mabadiliko kutoka katika hali aliyokuwa nayo hapo awali na kuanza kufanya vitu vikubwa katika jamii yake inayomzunguka. Mchezo wa soka umewatoa …

Soma zaidi
Walioingia na Waliotoka EPL, Januari
Football

Hadi sasa kuna klabu ambazo zimetumia dirisha la usajili kuimarisha vikosi vyao, kwa kurudisha wachezaji wao waliokuwa kwa mkopo katika klabu nyingine na klabu nyingine zikiuza wachezaji wao ambao kwa …

Soma zaidi
Klopp Anena Kuwashindwa Leicester!
Football

Wiki hii Ligi Kuu ya Uingereza imeshuhudia baadhi ya watabe wa EPL wakiwa na wiki ngumu, Liverpool wameshindwa kupata ushindi wakiwa wenyeji wa Leicester City kwenye gemu ya jana, Klopp …

Soma zaidi
Katika Kufunga Dirisha la Usajili
Football

Dirisha la Januari ndiyo limefika ukingoni, zipo klabu zilizoamua kuvunja vibubu na kuwaleta wachezaji wapya, wakati zingine zikiamua kubaki na nguvu ile ile. Pia, zipo zilizoamua kuwachukua wachezaji wapya kwa …

Soma zaidi
Martial Alikuwa Anamchukia Mourinho?
Football

Nyota wa Marchester United Anthoy Martial ameendelea kuwa mmoja ya wacjhezaji ambao wamekuwa na nguvu mpya na jitihada zaidi tangia Ole Gunnar alipompokea kwa mda aliyekuwa meneja wa klabu hiyo …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.