Alvaro Morata Yupo Fiti Kuingia Atletico
Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata yupo fiti kuingia Atletico Madrid baada ya kufuzu vipimo vya afya. Nyota huyu sasa anatarajiwa kurejea Hispania. Morata alijiunga na Chelsea akitokea Real Madrid sasa …
Itachukua Mda Bale Kurejea Mazima?
Bosi wa Real Madrid, Santiago Solari ana wasiwasi kuwa nyota wa klabu hiyo Gareth Bale huenda akahitaji mda zaidi ili kuweza kurejea mazima katika hali yake ya kawaida na kupata …
Quatar, Japan: kwa Nini Washiriki Copa America?
Quatar ni nchi ya Mashariki ya Kati na Japani pia ni nchi ya Asia Mashariki, lakini nchi hizi zinashiriki katika michuano ya Copa America ambayo kimsingi ipo kwa ajili ya …
EPL: Walinda Mlango Bora
Kuna wakati timu inaweza ikawa bora lakini kama itakosa wazuiaji wa mipira bora katika milingoti miwili iliyosimama huweza kuwa ni tatizo kubwa zaidi litakaloifanya klabu husika kupoteza uimara wake. Hapa …
Si kwa United Hii!
Manchester United wameendelea kusonga mbele katika raundi ya tano ya michuano ya FA baada ya kuiburuza Arsenal 3-1 huku washika bunduki hao wakiwa wenyeji wa mchezo huo. Ulikuwa ni mchezo …
Emelianenko Amtia Biti McGregor
Lendari wa Urusi wa MMA, veterani Fedor Emelianenko amemchimba biti bondia Conor McGregor kuwa anatakiwa ‘achunge domo lake’. McGregor anafahamika sana kwa kuropoka ropoka au kuongea ‘mbofu mbofu’ juu ya …
Henry Gemu 20 tu, Ametimuliwa!
Monaco: Henry Ameongoza Gemu 20 tu kisha ametimuliwa! Klabu ya Monaco imemtimua aliyekuwa meneja wa klabu hiyo ambaye aliwahi kuwa msakata kabumbu maridadi wa enzi zake Thierry Henry. Monaco ambao …
Morata Hafai Kwenda Atletico -Schuster
Msakata kabumbu wa zamani ambaye kwa sasa ni meneja wa DL Yifang Bernd Schuster anaamini kuwa Alvaro Morata sio aina ya mchezaji ambaye anatakiwa kwenda Atletico Madrid. Morata ambaye anacheza …
Neymar Awatahadharisha United!
Ikiwa bado takribani wiki mbili ili michezo ya klabu bingwa ya dunia iweze kuanza kutimua vumbi; kila klabu inafanya maandalizi ya awali kabisa kuona kama kuna namna wanaweza kupata ushindi …
Kama Messi na Ronaldo Wasingekuwepo…
Kuna wakati katika soka wachezaji kadhaa hutokea kuwika sana katika vikosi vyao na kupelekea mashabiki kushindanisha mafanikio yao hwanjani ha baadae huenda mbali sana hata nje ya uwanja pia. Messi …

