Hapa Hamna Usiyempenda!
Duniani kuna aina fulani ya wachezaji ikitokea kuna mmoja wapo unamchukia yupo mwingine ambaye kwa namna youote ile lazima umpende. Hii ni kutokana na ushindani, uwezo au kuna wakati aliwahi …
Mourinho Haishiwi Maneno!
Aliyewahi kuwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ambaye aliweza kupumzishwa na uongozi wa timu hiyo kutokana na mwenendo mbovu na matokeo mabovu ndani ya kikosi hicho; bado amekuwa ni …
Cole Kuungana na Lampard
Cole [38] anaonekana kutaka kuungana na mchezaji mwenzake wa kipindi cha nyuma Lampard katika klabu ya Chelsea. Wachezaji hao waliachana kwa kitambo kidogo baada ya kustaafu soka la ushindani pale …
Tetesi: Rashford Kusaini Dili Zito Trafford!
Mchezaji huyo kwa sasa amefanikiwa kubadilika kwa kiwango kikubwa sana tofauti na alivyokuwa mwanzoni, pongezi nyingi zimfikie Ole ambaye kwa nafasi yake anefanikiwa kymtengeneza na amejua namna ya kumtumia mvhezaji …
Balloteli Kuendelea Kusakata Kabumbu
Mchezaji huyo amekuwa picha la kutisha katika ligi mbalimbali duniani kwa kupitia kampeni zake za kupinga ubaguzi na kupambana juu ya kupata namba ya kudumu ndani ya kikosi hicho cha …
Barcelona Mazungumzoni Kumnasa Boateng
Barcelona wanaripotiwa kuwa wamejiandaa kumnasa nyota wa Sassuolo Kevin Prince Boateng. Klabu hii wanaripotiwa kuwa mazungumzoni ili waweze kumnasa Boateng kwa mkopo wakiwa na makubaliano ya kumnunua moja kwa moja. …
Uchambuzi: Ni Janga Kubwa Sana!
Klabu ya Tottenham imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono unaowafanya waendelee kujizatiti kileleni mwa ligi hiyo hadi sasa kwa kuweza kuwapiga Fulham 2-1; ushindi unaowafanya wakae vizuri katika nafasi yao ya …
Simba Apungiwa Mkono Bila Kujibu
Katika michuano ya klabu bingwa Afrika inayoendelea kutimua vumbi hadi sasa, klabu kutoka Tanzania inayoshiriki michuano hiyo, Simba ilipokea kipigo kizito cha kwanza kwa msimu huu cha mkono mmoja [5-0] …
WBA: Pacquiao Ampa Kichapo Broner
Mbwembwe za Adrien Broner kuwa angeweza kumchapa bingwa wa WBA Manny Pacquiao kisha akaenda kunywa naye meza moja zimemuacha akishuhudia kichapo kutoka kwa bondia huyo. Pacquiao amemchapa kisha ampa ujumbe …
Cavani Anafikiria Kustaafu Soka!
Nyota wa PSG ambaye ni kiongozi wa magoli wa wakati wote kule Ligue 1, Edinson Cavani baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Napoli mwaka 2003 anatarajia kustaafu soka, kwa …

