Klopp Alitabiri Hatma ya Coutinho…
Football

Mchezaji Philippe Coutinho hali yake katika klabu ya Barcelona ipo katika hali ambayo haieleweki. Hii ni baada ya maisha yake ya kisoka ndani ya klabu hiyo kwenda nje ya kile …

Soma zaidi
Pacha za Wachezaji Zilizotisha!
Football

Ferenc Puskas and Alfredo Di Stefano (Real Madrid), hawa ndio historia ya Madrid ya sasa kwa makubwa waliyoyafanya miaka ya 1950 hadi 1960, waliponyanyua ndoo ya klabu bingwa mara tano …

Soma zaidi
Ozil Hana Bahati
Football

Kiungo wa Arsenal aliyejistaafisha kuchezea timu yake ya taifa ya Ujerumani baada ya ripoti mbalimbali, kwa sasa anaonekana kukosa nafaei ndani ya kocha mpya wa klabu hiyo Emery ambaye kwake …

Soma zaidi
Pacquiao Akutana na Mayweather
News

Wawili hawa ni mahasimu wakubwa wa ndondi duniani. Kila mmoja anaheshimu uwezo wa mwenzake kutokana na pambano lao lililopita kuwa lenye ushindani mkubwa na lililoibua hisia za aina yake kwa …

Soma zaidi
Serena Williams Kucheza Huku Akilea!
News

Akiwa ametoka kupasha kwenye michuano ya Hopman Cup kule Perth Serena alifanikiwa kushinda mechi zake zote tatu akidhihirisha ubora wake toka ajifungue mtoto wake. Wengi walidhania mchezaji huyo maarufu wa …

Soma zaidi
Wanamichezo na Dini
Football

Imani ni kitu ambacho kipo nafsini mwa mtu mwenyewe, na hakuna mtu anayeweza kumlazimisha mwingine afanye kitu kingine bila hiari yake. Katika soka pia haya mambo yapo; mchezaji anayeamini katika …

Soma zaidi
Kuhusu Usajili Jumapili Hii!
Football

Hapa tunakuletea stori kuhusu usajili Jumapili hii. Hapa zipo zile zinazosemwa hadharani na vilabu husika, makocha, wachezaji na mawakala wao. Lakini pia zipo zile za nyuma ya pazia ambazo bado! …

Soma zaidi
Kupoteana kwa Isco Madrid, Ataenda Juve?
Football

Isco amekuwa na wakati mgumu siku za hivi karibuni, anapitia kipindi cha kutopewa nafasi sana kwenye kikosi cha Santiago Solari pale Real Madrid, katika gemu 3 zilizopita nyota huyu aliingingia …

Soma zaidi
Usajili: Fununu Mbalimbali za Soka
Football

Barcelona wameanza kuwachokonoa Chelsea kwa kuonesha nia ya kutaka kumsajili Willian kikosini mwao. Ripoti hizo za mchezaji huyo kuanza kuhusishwa na klabu hiyo zimeibua sura mpya hii ni baada ya …

Soma zaidi
Mouriho: Heshima Kubwa Kuhusishwa na Vilabu Hivi
Football

Aliyekuwa meneja wa Manchester United, Jose Mourimho anaendelea kuteka vichwa vingi vya habari licha ya kutokuwa na kibarua chochote kwa sasa. Mourinho anatawala vichwa kwa kuhusishwa na klabu mbalimbali zikiwemo …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.