FA: Baada ya Baadhi ya Mizunguko…
Klabu kubwa zimeendelea kufanya vizuri katika michezo iliyokwishachezwa kwa kuondoka na matokeo yanayowafanya waweze kusonga mbele zaidi. Ole Gunnar Solskjaer ameweza kuendeleza historia ya ushindi ndani ya kikosi hicho tangu …
United na Spurs Hawasajili Januari Hii?
Dirisha la uhamisho la Januari hii lipo wazi kuanzia Januari 1 hadi Januari 31. Fununu mbalimbali juu ya klabu gani inamfukuzia nani, klabu ipi imemsajili nani zinaendelea kukolea siku hadi …
Asian Cup Kutimua Vumbi
Mashindano ya nchi zinazopatikana ukanda wa bara la Asia zinategemewa kuanza kuburuzana siku ya leo huku wenyeji na waandaaji wa kombe hilo kwa mwaka huu wenyeji wa nchi za kiarabu …
Kante Alalama Chelsea Kumpa Mzigo Hazard!
N’Golo Kante amelalamikia wachezaji wenzake wa Chelsea kuwa wanahitaji kutia kazi zaidi na sio kumtegemea tu Hazard. Kante amelalmika kuwa wanampa mzigo Hazard baada ya kushindwa kupata ushindi wakiwa nyumbani …
Charlie Austin Kitanzini Gemu 2!
Nyota wa Southampton, mshambuliaji Charlie Austin amejikuta kitanzini! amelimwa adhabu ya marufuku kwenye gemu 2 kwa kuonyesha ishara ambayo imetafsiriwa kuwa na lengo la kutukana au kudhihaki mashabiki kwenye gemu …
Fununu za Soka Barani Ulaya
Kila linapokaribia dirisha la usajili kila klabu huwa makini kuchunguza mapungufu na wachezaji wanaofanya vizuri katika timu pinzani ili waweze kuziba mapungufu yanayoonekana katika timu zao. Tukiwa tunaelekea dirisha la …
Juve Ndiyo Mabingwa wa UCL -Boban
Lengendari wa AC Milan, Zvonimir Boban anaamini Juventus ndiyo wataweza kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya -UCL kufuatia ubora wanaouonyesha Serie A. Juventus wamekuwa wakifanya vizuri kwenye ligi yao …
Hii ni Changamoto kwa LeBron
Wahenga husema ‘kizuri siku zote hurushiwa kila aina ya uchafu’. Kauli hii inakuja kutokana na kile kinachodaiwa kwamba kwa asilimia kubwa wakongwe wengi wa mpira wa kikapu hawapendezwi na kitendo …
Kuelekea Dirisha Dogo la Usajili
Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo huku kukiwa na majina ya wachezaji yanayotazamwa kwa jicho la pekee kutoka ligi mbalimbali duniani. Baadhi ya wachezaji wanalazimisha kuzihama klabu zao wakiwa na …
Sajili za Januari Zilizovunja Rekodi
Inapokaribia Januari kunakuwa na maingizo mapya katika vikosi vya timu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi ya majina ya wachezaji yaliyowahi kusajiliwa Januari [kipindi cha nyuma] na kufanya vizuri sana katika ngazi …

