Ronaldo na Rekodi Yake Mwenyewe
Ronaldo ameshindwa kupata goli moja tu msimu huu ili kuendeleza rekodi yake ya kufikisha mabao 50 katika ngazi ya klabu na timu ya taifa kwa mwaka. Imekuwa ni kawaida yake …
Balaa la Walinzi wa Liverpool
Liverpool wamezidi kujiimarisha kileleni katika ligi hiyo baada ya kugawa dozi nzito za Chrismas na Mwaka mpya. Walianza kwa kufungua zawadi za Chrismas na Newcastle kwa kuwapa dozi ya 4-0 …
Hii Ndiyo ‘Knock Out’, Tazama Video
Jon Jones anakutana na Alexander Gustafsson kwenye pamano la marudio. Inakumbukwa pambano la mwisho Jon Jones alimtandika KO bondia Gustafsson. Leo inaweza kuwa ni moja kati ya pambano kubwa zaidi …
Usajili: Kuelekea Januari
Kati ya timu kubwa barani ulaya ambazo zinacheza na kupata ushindi kwa kudra za Mwenyezi Mungu, Madrid hakosi kwenye kundi hilo. Hadi sasa watakuwa wanawaza juu ya upepo alioondoka nao …
Dondoo za Usajili: Fabregas, Cahill
Bayern Munich Kuweka bunda mezani kwa Callum Hudson-Odoi Bayern Munich wanaripotiwa kuwa tayari kutenga bunda la paundi milioni 13 kumsajili kinda wa chelsea anayecheza nafasi ya kiungo Callum Hudson-Odoi kwa …
Usajili: Nani Atashinda Vita Hii ya Pesa?
Usajili wa Neymar kutoka Barcelona kujiunga na PSG ni miongoni mwa sajili zilizotumia pesa nyingi sana katika historia ya soka. Swali ni Je, usajili huu utadumu kwa mchezaji huyu kusalia …
Kuna Watu Bado Wanamtaka
Wanasema “Wewe unaponiona mimi wa kazi gani, kuna wenzako wanawaza watanipata linii” ,hii ni baada ya kufungashiwa virago ndani ya klabu ya United; Mreno, Jose Mourinho ameanza kuhusishwa na kujiunga …
Dau la Kumtoa Neymar PSG Liko Wazi?
Haijawa mda mrefu toka Neymar achukuliwe na klabu ya PSG inayoshiriki Ligi 1, ni mwaka 2017 tu alipoenda huko. Nyota huyu alitoka Barcelona na PSG kwa dau linalotajwa kuwa paundi …
AC Milan Walikiuka Sheria za Fedha za UEFA?
Taarifa zinaripoti kuwa Ac Milan wamepewa adhabu kufuatia kukiuka kwa sheria za fedha za UEFA FFP. Sheria hizi ambazo kwa kiingereza zinaitwa UEFA Financia Fair Play. Hizi ni sheria ilizokubaliwa …
Newcastle: Labda Yatokee Maajabu
Kocha Rafa Benitez ameanza kupoteza matumaini na timu yake endapo ataendelea kusalia katika ligi hiyo na timu yake ambayo haijawa na mwenendo mzuri kwenye ligi hiyo ya Uingereza. Kocha huyo …

