Mabadiliko Makubwa Yafanyika UEFA
Football

Katika kuendelea kuboresha hadhi ya michuano ya klabu bingwa Ulaya, yamefanyika mabadiliko makubwa yenye lengo la kuleta usawa na haki kwa washiriki kwenye michiano hiyo mikubwa. Bodi ya michuano hiyo …

Soma zaidi
Mkwanja: Wachezaji Wanaovuta Pesa Ndefu!
Football

Kutokana na utafiti uliofanywa hivi karibuni, zimetoka takwimu mpya za wachezaji wanaolamba hela nyingi kwenye  klabu wanazochezea. Hii inatokana na mishahara yao wanayolipwa na gharama zao za kuuziana kuwa juu …

Soma zaidi
Gabriel Jesus Anafurahia Ligi ya Magoli na Aguero!
Football

Nyota wa Manchester City, Gabriel Jesus anasema licha ya ukweli kuwa anamtambua Aguero kama Legendari na kumuweka kwenye kundi la watu muhim u wa wakati wote kwenye klabu hiyo, bado …

Soma zaidi
Matumaini ya Benfica kwa Mourinho
Football

Benfica bado wana matumaini na Mourinho. Taarifa za hivi karibuni, ziliripoti kuwa aliyekuwa meneja wa Manchester United kabla hajaweza kumaliza vibaya mwaka 2018 kwa kutimuliwa na klabu hiyo, Jose Mourinho …

Soma zaidi
Ugumu Morata Kwenda Sevilla
Football

Sevilla wanaripotiwa kuvutiwa na nyota wa chelsea Alvaro Morata, lakini kuna ugumu uliopo katika jitihada za kuinasa saini yake klabuni hapo. Klabu hii ilitaka kumpata nyota huyu kwa mkopo kwa …

Soma zaidi
Kuelekea Mzunguko wa Nne wa FA
Football

Baada ya mizunguko mingine kukamilika na washindi kupatikana; klabu nyingi zitakuwa zinaelekea kutafuta nafasi ya kusonga mbele katika mzunguko unaofuata. Katika mechi hizo itashuhudiwa timu kubwa zikimegana na timu kubwa …

Soma zaidi
Misri Kuandaa Fainali za AFCON!
Football

Hapo awali Cameroon walipewa nafasi ya kuandaa fainali za michuano hiyo mikubwa na ya aina yake Afrika, lakini kutokana na sababu mbalimbali wameweza kupokwa nafasi hiyo; huku Misri akipewa ripoti …

Soma zaidi
Ronaldo Balaa Tupu Sasa!
Football

Makabati ya tuzo ya mchezaji huyu mkubwa na maarufu sana duniani yanazidi kufurika vitu vya dhahabu kutokana na kukusanya tuzo mara kwa mara kitu ambacho kinamfanya aendelee kusalia mchezaji wa …

Soma zaidi
Maridhiano: Fury na Wilder
News

Hali inazidi kuwa nzuri upande wa mashabiki wa masumbwi duniani juu ya ripoti zinazoendelea kuhusu pambano kubwa na lenye hadhi ya juu kati ya wapiganaji bora duniani ambao ni Tyson …

Soma zaidi
Keylor Navas Kuendelea Kupambana Real
Football

Golikipa wa Real Madrid, Keylor Navas amesaini mkataba mpya utakaomfanya kuendelea kuwepo klabuni hapo hadi Juni  2021. Nyota alikuwa anahusishwa na klabu ya Arsenal, lakini Unai Emery alikanusha taarifa za …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.