Watu Maarufu Kwenye Kabumbu
Kila mtu huwa ni mpenzi wa aina fulani ya mchezo ambapo; hujisikia ufahari mkubwa hata anapochagua timu fulani ya kuishangilia katika aina hiyo ya mchezo. Mpira wa miguu pia upo …
Cardiff Wanamtaka Samatta
Klabu hiyo wapo sokoni kwa sasa kutaka kumnasa mchezaji huyo raia wa Tanzania kwa udi na uvumba kutokana na uwezo wake. Samatta amekuwa akizungumziwa sana na klabu nyingi barani Ulaya …
Fununu za Soka Ulaya
Liverpool wapo mbioni kufukuzia saini ya mchezaji kinda wa Benfica Joao Felix [19], lakini juhudi zao zinaonekana kutaka kugonga mwamba kutokana na klabu hiyo kuona bado inamhitaji mchezaji huyo katika …
Sharapova Amchapa Bingwa Mtetezi!
Bingwa mtetezi wa michuano ya Australian Open Caroline Wozniacki ameshindwa kuchomoka kwa bingwa mara tano wa Grand Slam Maria Sharapova na kukubali kutolewa nje ya michuano hiyo. Mrusi huyu, Sharapova …
“Majeraha ya Kane Hayatufanyi Tusajili!”
Ni kauli ya kocha mkuu wa klabu ya Tottenham, Pochettino akizungumzia sakata la kuumia kwa mchezaji wao tegemezi na sakata zima la mipango yao ya kuongeza nyota wapya kikosini hapo. …
Chiellini Amewajua Wabaya Wao
Klabu ya Juventus imeanza kampeni zake za kunyanyua vikombe vizuri baada ya kuwaburuza wapinzani wenzao wa jiji hilo AC Milan kwa goli pekee la mtu mwenye historia zake duniani kwa …
Simba Uso kwa Uso na AS Vita Jumamosi
Hii ni katika hatua ya makundi ambapo kila timu inapigana kujikusanyia alama ili iweze kujiweka mahala pazuri kuweza kusonga mbele. Simba akiwa kinara wa kundi hilo kwa kuwafunga Waalgeria; sasa …
Hawajabahatika Kutwaa Ligi ya Mabingwa
Kombe la klabu bingwa ni miongoni mwa makombe yenye heshima na hadhi ya juu sana duniani. Klabu inaposhinda kombe la aina hii hupata heshima kubwa sana ndani ya msimu huo …
Wozniack Atoboa Raundi ya 3, Atamvaa Sharapova
Bingwa mtetezi wa michuano ya Tenis ya Australian Open Caroline Wozniacki ametoboa kuingia kwenye raundi ya tatu kwa ushindi wa moja kwa moja dhidi ya Johanna Larsson. Sasa atamvaa Sharapova! …
Ubaguzi Haufai Katika Soka!
Klabu ya Tottenham inaripotiwa wapo katika uchunguzi wa kina juu ya sakata linaloripotiwa kuwa ni ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa baadhi ya wachezaji wao. Mashabiki wanatajwa kuwa ni chanzo kikubwa …

