Wozniack Atoboa Raundi ya 3, Atamvaa Sharapova

Bingwa mtetezi wa michuano ya Tenis ya Australian Open Caroline Wozniacki ametoboa kuingia kwenye raundi ya tatu kwa ushindi wa moja kwa moja dhidi ya Johanna Larsson.  Sasa atamvaa Sharapova!

Bingwa huyu alitumia mda wa dakika 66, saa 1 na dakika sita kumchapa mpinzani wake anayetajwa kuwa nafasi ya 75 ya viwango vya mchezo huu. Amemchapa kwa seti ya 6-2 6-1.

Bingwa mtetezi wa michuano ya Tenis ya Australian Open Caroline Wozniacki ametoboa kuingia kwenye raundi ya tatu kwa ushindi wa moja kwa moja dhidi ya Johanna Larsson. Sasa atamvaa Sharapova!
Sharapova
Wozniacki atamvaa Sharapova

Ushindi huu unampeleka Wozniacki kwenye raundi ya 3 kupambana na Maria Sharapova bingwa aliyeshinda michuano hii mwaka 2008. Sharapova ambaye pia ni bingwa mara 5 wa Grand Slam alimtandika Rebecca Peterson wa Swideni kwa seti ya 6-2 6-1.

Pia, kwenye michuano hii mwanadada bingwa wa mara 3 wa Grand Slam, Angelique Kerber alimchapa Beatriz Haddad Maia 6-2 6-3.

3 Komentara

    Carolina yuko vizuri sana.

    Jibu

    Corona noma

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.