Kvitova : Kumbukumbu kuelekea Fainali
Football

Kila mtu huwa na kipindi fulani kigumu anachokipitia au alichokipitia ambacho hataweza kukisahau kabisa. Mwanadada nyota wa tenisi Petra Kvitova naye amezungumzia kumbukumbu yake kuelekea fainali za michuano ya Australian …

Soma zaidi
Kilichomliza Neymar Akisepa Dimbani
Football

Nyota wa PSG, Neymar alisepa dimbani akitoa machozi kwenye gemu waliyopata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Strasbourg ya kombe la Ufaransa. Alitoka kwa sabu baada ya kupata jeraha, huenda …

Soma zaidi
Masharti ya Neymar Kama Wanamhitaji Kwao
Football

Inasemekana Neymar ameuambia uongozi wa Madrid kwamba endapo wanamhitajinkikosini hapo kwa sasa hawana budi kufanya baadhi ya mambo ambayo yeye anaonelea yatakuwa na tija kwake na kuleta mafanikio ndani ya …

Soma zaidi
Imani ya Ole Gunnar kwa Martial na De Gea
Football

Menejea wa mda wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ana imani juu ya mastaa wa klabu hiyo golikipa David de Gea na mshambuliaji Anthony Martial kuwa watasaini mkataba mkataba mpya …

Soma zaidi
Nyota Matajiri wa Nigeria…
Football

Nigeria ina wachezaji nyota wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya mipaka ya nchi hiyo. Kwa sababu hiyo wana kipato kikubwa ambacho kinawafanya waweze kutimiza mahitaji yao ya kila siku. …

Soma zaidi
Piatek Mbioni Kuwafuata Milan
Football

Mshambuliaji wa Genoa, Krzysztof Piatek anatarajiwa kuingia AC Milan kuziba pengo lililoachwa na Gonzalo Higuain ambaye tayari anaripotiwa kwenda Chelsea kukamilisha dili lake la mkopo. Piatek anatarajiwa kuwafuata  kwa paundi …

Soma zaidi
Sintofahamu Kutoweka kwa Sala
Football

Hali ya sintofahamu imeendelea kutawala kwa familia na wapenzi wa mwanasoka aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya Nantes, Emiliano Sala (28). Kutoweka kwake kunaumiza vichwa polisi kubaini mahali ambapo anaweza kuonekana …

Soma zaidi
Henry Anaihofia Monaco Kuliko Hatma Yake
Football

Baada ya Monaco kutemwa kwenye michuano ya Coupe de France na klabu ya Metz ambayo inashiriki League 2, Thierry Henry anasema anaihofia zaidi hatma ya klabu hiyo kuliko hatma yake …

Soma zaidi
Uchambuzi: Chini ya 23 Wanaotesa Ligi Kubwa
Football

Kuna baadhi ya wachezaji walio na umri wa chini ya miaka 23 wanaofanya mambo makubwa sana katika umri wao. Baadhi ya wachezaji hao wamekuwa nguzo kubwa katika ngazi ya klabu …

Soma zaidi
Uingereza: Mbovu za Chelsea
Football

Kuna wakati mchezaji anaweza kusajiliwa katika kikosi cha klabu fulani kwa malengo ya kufanya vizuri katika kikosi husika au kukiwa na lengo kwamba yale aliyokuwa anayafanya upande wa kwanza yatakuwa …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.