Tathmini: Wanaoweza Kushika Mikoba ya Kante
Katika hali halisi ni vigumu sana mtu kushika nafasi ya mtu mwingine na kufanya kiuhalisia kama yule mtu alivyokuwa anafanya kitu hicho. Katika soka pia ipo hivyo si rahisi kupata …
Taarifa Mbalimbali za Vilabu na Mikataba
Pamoja na kwamba ligi ya Uingereza ina mvuto wa pekee lakini haimaanishi kwamba klabu hizo zinaweza kuvumilia kukaa na wachezaji kwa kipindi kirefu. Kila klabu huamua kukaa na mchezaji fulani …
Lindelorf Aokoa Jahazi…
Baada ya kuwa na mchezo mgumu hapo jana ambao wengi waliona mchezo huo unaweza kuisha kwa Burnley kuondoka na alama zote tatu pale Old Trafford, mambo yakidhihirika wazi kwamba mpira …
Wakati wa Giroud Sasa Kuonesha Makucha!
Kutua kwa nyota huyo kunakuwa mwiba kwa wachezaji waliokuwepo kikosini hapo hadi sasa. Kama ilivyokkwisha tokea kwa Morata ambaye amesaini kuwachezea Atletico kwa mkopo kwa kipindi cha miezi 18; sasa …
United Kukutana na Sarriball kwenye FA
Katika upangaji wa pacha uliofanyika siku ya jana umeweza kutoa pacha ambazo kila timu itakutana nayo kwenye hatua ya tano ya michuano hiyo. Zikiwemo na klabu nyingine lakini hawa wawili …
£21.5M za PSG Kumnasa Idrisa Gueye
PSG wamekunjua dau la paundi milioni 21.5 kama ofa ya kumnasa nyota wa Everton Idrisa Gueye, lakini bado Everton wanaonekana kuhitaji bunda kubwa zaidi, angalau mara mbili ya dau lao …
FA Cup: Kuelekea Droo Raundi ya 5!
Wiki ya raundi ya 4 ya FA Cup imewaacha vichwa chini baadhi ya watabe wa Ligi Kuu ya Uingereza wakilazimika kuwa watazamaji tu. Baadhi ya timu bado zinakabiliwa na kibarua …
Tonge Laponyoka Mdomoni…
Marko Arnautovic asaini kuendelea kuwatumikia West ham kwa kipindi kingine pamoja na kupata ofa kubwa ambayo yeye anaiita yenye majaribu makubwa kuweza kutimkia China. Aliweza kuhusishwa kujiunga na klabu mbili …
Osaka na Kvitova Walizana
Mchezaji huyo wa tenisi raia wa Japan alishinda taji lake la Australian Open na kumwacha mpinzani wake Petra akitoa machozi baada ya kulikosa tajji hilo katika mazingira ambayo yeye mwenyewe …
Kapu la Fununu za Usajili Ulaya
Ikiwa wiki moja imewasalia kufungwa kwa dirisha la usajili la Januari, klabu nyingi barani Ulaya zinafanya kila linalowezekana kuweza kuendana na kasi hiyo kwa kusajili wachezaji watakaoziba nafasi zilizokuwepo katika …

