Wolverhampton Vs Manchester United Wikiendi Hii!
Manchester United bado hawajaridhika baada ya kichapo cha kwanza walichokipokea wakiwa chini ya meneja wao wa mda bwana Ole Gunnar Solskjaer. Wanasafiri kumfuata Wolverhampton kwenye FA Cup ambaye walitoa naye sare kwenye gemu ya EPL mwezi September.
Taarifa za Timu Wolverhampton Vs Manchester United
Wolves wanaingia dimbani wakiwa hawana majeruhi, huenda wakawa na moto walioanza nao kwa Liverpool ambaye walimtoa kwenye FA Cup.
- Ryan Bennett ambaye alizuiliwa kucheza kwenye mechi 2 za Ligi Kuu anaweza kuingia kwenye kikosi kwenye gemu hii.
- Wolves wanaweza kuwa na kikosi bora wakiwa na wachezaji wote fiti bila majeruhi.
- Ruben Neves na Joao Moutinho wanafanya poa wakipambania nafasi ya kuanza kama viungo wakati John Ruddy and Ruben wao wanaweza kutokuwepo kwenye kikosi ambacho huanza wakati wote.
Manchester United wao wanadaiwa kuwa na upungufu wa baadhi ya wachezaji kwa sababu ya majeraha na adhabu. Lakini wachezaji wengine pia wamerejea kutoka kuuguza majeraha yao.
- Ashley Young anapambana na zuio klabuni hapo baada ya kupata kadi 2 za njano kwenye FA Cup. Antonio Valencia na Matteo Darmian pia wanatarajiwa kuwa nje ya dimba.
- Romelo Lukaku anasumbuliwa na enka, Anthon Martial anatarajiwa kuchukua nafasi yake. Nemanja Matic pia atakuwepo dimbani.
- Juan Mata, Alexis Sanchez na Mason Greenwood wote wapo kwenye orodha ya wanaokosa gemu hii.
Takwimu na Odds
- United wameshinda mechi 8 katika mechi 9 walizocheza za FA.
- United wameweza kushinda kwa vipindi vyote viwili cha I na II kwa gemu zao 8 za mwisho za FA Cup.
- Man United pia wameweza kufunga magoli 2+ kwenye gemu 8 kati ya 9 za mwisho za FA Cup.
- Man United pia hawajafungika katika gemu 9 kati ya 10 dhidi ya Wolves katika mashindano yote.


Rehema
Hii ni Safi sn
Mariam mtandama
Safi sana
Povel
Mambo Moto sana