Chelsea Kumuachia Hazard Kiangazi

Klabu ya chelsea wanaripotiwa kuwa watakunjua moyo kumuachia staa wao Eden Hazard kusepea Real Madrid kiangazi kinachokuja.

Eden Hazard amebakia na mda mfupi klabuni Chelsea akiwa anamaliza mkataba wake mwaka 2020. Staa huyu hajaonesha nia yeyote ya kusaini mkataba mpya klabuni hapo, Chelsea wanahofia kuwa wanaweza kumpoteza staa huyo huku taarifa zikidai wanalazimika kumuuza kiangazi kwa tahadhari.

Taarifa zinabainisha kuwa Real Madrid wanataka kuchukua kumchukua staa huyu kwa paundi milioni 100 huku Cheslea wakionekana kuhitaji pesa zaidi na mazungumzo kati yao bado yanaendelea na dilihili linatarajiwa kukamilika kiangazi kinachokuja.

Zidane aligusia kusu staa huyu na namna anavyomkubali anapokuwa uwanjani. Huyu anakuwa mmoja wa mastaa kutoka EPL ambao Zidane amekiri kuwakubali akiwepo pia Pogba.

3 Komentara

    Hii ni taarifa mzuri sn meridianbet

    Jibu

    Taarifa nzuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe