Amrabat Awindwa na Man United
Klabu ya Manchester United imeendelea kutafuta wachezaji ili kuboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao na sasa wamehamia kwa kiungo wa kimataifa wa Morocco anayekipiga Fiorentina na Italia Sofyan Amrabat. Manchester …
Inter Wanawasiliana na Carnesecchi kama Mrithi wa Onana
Iwapo Inter watamuuza Andre Onana, basi wataanza kumuwania tena golikipa wa Atalanta na kimataifa wa Italia chini ya umri wa miaka 21 Marco Carnesecchi kama mbadala wake. Bei ya …
Torino Yakataa Ofa Kutoka kwa Napoli na Liverpool Kwaajili ya Schuurs
Kulingana na gazeti la Tuttosport, Torino wamekataa ofa kutoka kwa Napoli na Liverpool kwa ajili ya beki wao Perr Schuurs, lakini wanatarajia Reds kurejea na ofa iliyoboreshwa. Mchezaji huyo …
Brighton Wamemsajili Golikipa wa Anderlecht Verbruggen
Klabu ya Brighton wamemsajili golikipa wa Uholanzi chini ya umri wa miaka 21 Bart Verbruggen kutoka Anderlecht. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ametia saini kandarasi ya miaka …
Mmiliki wa Inter Miami Amefichua kuwa Mazungumzo ya Messi Yalichukua Miaka 3
Mmiliki wa Inter Miami Jorge Mas amefichua kuwa ilichukua miaka mitatu ya mazungumzo kumleta Lionel Messi katika klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Soka. Mshindi huyo wa Kombe la …
Pochettino: “Tunataka Kuleta Furaha kwa Chelsea Tena”
Mauricio Pochettino anatazamia kuwa mtayarishaji wa kuijenga upya Chelsea baada ya msimu wao mgumu wa 2022-23. The Blues walimaliza katika nafasi ya 12 kwenye Ligi kuu wakiwa na pointi …
Wachezaji Simba Waitwa Haraka Kambini
Habari kutoka ndani ya Simba SC zinasema kuwa, mabosi wa Simba wameamua kuwaita wachezaji wote ili kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya safari ya nje ya nchi zikitajwa Afrika Kusini …
Robertinho Anamtaka Meneja Mzungu Simba SC
BAADA ya uongozi wa Simba kuwa kwenye mjadala mzito juu ya kupata meneja mpya wa klabu hiyo, hatimaye Kocha Mkuu wa klabu hiyo raia wa Brazil, Roberto Olivier ‘ Robertinho’, …
Sassuolo Iko Tayari Kumpeleka Maxime Lopez kwenda Napoli
Mkurugenzi wa Sassuolo Giovanni Carnevali anasisitiza kuwa Napoli hawajawasiliana na Maxime Lopez lakini wako tayari kumpeleka kiungo huyo wa kati wa Ufaransa Stadio Maradona. Mchezaji huyo mwenye umri wa …
Roma Yathibitisha Kushirikiana na Adidas
Roma wamethibitisha ushirikiano mpya na Adidas kabla ya uzinduzi wa jezi zao mpya za 2023-24. Roma walisema katika taarifa yao leo: “AS Roma na adidas kwa mara nyingine wanafanya …

