Chelsea Inaweza Kumnunua Dyabala
Daily News

Kuna ripoti jioni hii kwamba Chelsea wamefanya mawasiliano na wakala wa Paulo Dybala na wanaweza kuamsha kipengele cha kutolewa kwa euro milioni 12 katika mkataba wake wa Roma.   La …

Soma zaidi
Morata Anaitaka Milan, Lakini Kuna Mkanganyiko
Daily News

Vyanzo vingi vina imani kwamba Alvaro Morata anashinikiza kuhamia Milan, lakini bado kuna mkanganyiko juu ya kifungu chake cha kutolewa kwa Atletico Madrid na kunaweza kuwa na mabadiliko.   Sky …

Soma zaidi
Roma Wanafikiria Kumnunua Kiungo wa United McTominay
Daily News

Roma wamemtambua Scott McTominay wa Manchester United kama chaguo la kuvutia kuimarisha safu yao ya kiungo msimu huu wa joto.   The Giallorossi wanatazamia kupata nyongeza kadhaa msimu huu wa …

Soma zaidi
Skriniar Ajiunga na PSG Huku Kocha Mpya Luis Enrique Akianza kazi
Daily News

Milan Skriniar amejiunga na Paris Saint-Germain kwa uhamisho wa bure. Beki huyo wa kati wa Slovakia mwenye miaka 28, alimaliza muda wake wa miaka sita katika klabu ya Inter Milan …

Soma zaidi
Reece James Ahuzunishwa na Mount Kuondoka Chelsea
Daily News

Reece James ahuzunika kumuaga Mason Mount kufuatia uamuzi wa rafiki yake wa zamani kuondoka Chelsea na kujiunga na Manchester United.   Mount mwenye miaka 24, alijiunga na United kwa mkataba …

Soma zaidi
PSG Yamfuta Kazi Christophe Galtier
Ligue 1

Klabu ya PSG imemfuta kazi meneja wake Christophe Galtier mwenye miaka 56, baada ya kukaa mwaka mmoja tu ndani ya klabu hiyo na kuwaongoza wababe hao wa Ufaransa kunyakua taji …

Soma zaidi
Simba Watajuta Kumuacha Mkude
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa licha ya utani wa jadi uliopo baina yao na Simba bado kuna jambo wanalisikitikia hasa kumuacha kiungo mzoefu, Jonas Mkude. Mkude Juni 22, ‘Thank …

Soma zaidi
Azam Fc Kushusha Mtambo wa Mabao
SOKA LA BONGO

HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa wapo kwenye hesabu za mwisho kukamilisha dili la mshambuliaji wa kimataifa. Timu hiyo imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja Idris …

Soma zaidi
Nabi Amuweka Gamondi Kitimoto
SOKA LA BONGO

UNAAMBIWA pamoja na Kocha Mkuu wa Yanga kutua na wasaidizi wake, uongozi wa klabu hiyo umempatia masharti magumu msimu ujao ambapo imemtaka, kuhakikisha anachukua makombe yote ya ndani na kuifikisha …

Soma zaidi
Luis Enrique Atua PSG
Ligue 1

Aliyekua kocha wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Barcelona Luis Enrique raia wa kimataifa wa Hispania amefanikiwa kusaini mkataba wa kuitumikia klabu ya PSG kwa mkataba wa …

Soma zaidi
1 2 3 449 450 451 452 453 454 455 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.