De Gea Aacha Rekodi ya Kipekee Utd
Daily News

Aliyekuwa mlinda mlango namba 1 wa Manchester United David De Gea ameacha rekodi ya kutisha klabuni hapo baada ya kutangaza kuachana na na Mashetani Wekundu. Meridianbet wamejipanga vizuri kukufanya kuwa …

Soma zaidi
Hali ya Van der Sar Imetulia, Baada ya Ubongo Kuvuja Damu
Daily News

Kipa wa zamani wa Uholanzi na Manchester United Edwin Van der Sar hali yake bado sio nzuri baada ya kuvuja damu kwenye ubongo wake japo imetulia kidogo.   Edwin mwenye …

Soma zaidi
Howe Anamuhitaji Harvey Barnes
Daily News

Newcastle ambayo ipo chini ya kocha mkuu Eddie Howe, wanajipanga kumfanya Harvey Barnes kuwa mchezaji wao wa pili mkubwa kusajiliwa msimu huu wa joto.   Gazeti la The Guardian limeripoti …

Soma zaidi
Beki wa Leeds Llorente Arejea Roma kwa Mkopo wa Msimu Mzima
Daily News

Beki wa Leeds Diego Llorente amejiunga tena na Roma kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2023-24.   Llorente mwenye miaka 29, alitumia kipindi cha pili cha msimu uliopita na …

Soma zaidi
Gwiji wa Chelsea Terry Anarejea Stamford Bridge
Daily News

Nahodha wa zamani wa Chelsea John Terry ametangaza kurejea katika klabu hiyo katika nafasi ya ukocha.   Terry aliichezea The Blues mechi 717 kati ya 1998-2017, akiwa nahodha hadi kutwaa …

Soma zaidi
Yanga Yaeleza Malengo Yao ya Usajili
SOKA LA BONGO

Uongozi wa Yanga umesitiza juu ya kumalizana na wachezaji wote ambao walikuwa wakiwahitaji, huku wakiweka wazi kuwa hakuna mchezaji mwingine yeyote ambaye walikuwa wanamhitaji ambaye hawajamalizana naye. Mabingwa hao watetezi …

Soma zaidi
Onyango Aibukia Singida
SOKA LA BONGO

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba Joash Onyango anatajwa kuingia kwenye rada za Singida Fountain Gate yenye maskani yake Singida. Jioni ya Julai 8 2023 ilikuwa ikisambaa picha …

Soma zaidi
Msuva: Kibabage Ataendelea Kuwashangaza
SOKA LA BONGO

STAA wa Tanzania Simon Msuva amesema kuwa beki mpya wa Yanga Nickson Kibabage atawashangaza watu kwa kuwa ana uwezo mkubwa sana Simon Msuva alisema hayo baada ya beki huyo kuungana …

Soma zaidi
De Gea Atimka Rasmi Man United
Daily News

Aliyekua golikipa wa klabu ya Manchester United David De Gea ametangaza kuachana na klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa kipindi kirefu na anaondoka kama mchezaji huru. De Gea ambaye alijiunga …

Soma zaidi
Casemiro: Malengo yangu Kombe la Dunia na Kuirudisha United Juu
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Brazil Carlos Casemiro ameweka wazi kua malengo yake makubwa kwasasa ni kushinda kombe la dunia na Brazil na kuirudisha …

Soma zaidi
1 2 3 446 447 448 449 450 451 452 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.