Wolves Wanaweza Kumtoa Arthur Mikononi mwa Juventus
Juventus bado wanajaribu kutafuta klabu mpya kwa ajili ya Arthur Melo na huenda akaibukia klabu ya Ligi kuu ya Uingereza Wolves. Kiungo huyo alikaa kwa mkopo Liverpool msimu uliopita, …
Maguire Kuvuliwa Unahodha Man United
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mpango wa kumvua unahodha nahodha wake wa sasa Harry Maguire ikiwa hataondoka klabuni hapo katika dirisha hili kubwa. Klabu ya Manchester United ipo kwenye …
Pasalic Akataa Kujiunga Fenerbahce Kutoka Atalanta
Sky Sport Italia inadai kwamba Atalanta ilikubali ofa ya €15m kutoka Fenerbahce kwa Mario Pasalic, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Croatia aliikataa. Timu hiyo ya Uturuki tayari imewang’oa …
Liverpool Inawahitaji Mac Allister na Szoboszlai
STAA wa Liverpool Fabinho amesema walikuwa wakihitaji sana viungo wapya kama Dominik Szoboszlai na Alexic Mac Allister huku akisema kikosi hicho kitatulia. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa …
Pochettino: Nataka Kumsaidia Dele Alli
Kocha wa Chelsea Mauricio Pochettino amesema anataka kuzungumza na Dele Alli ili kugundua “kinachoendelea” kuhusu maisha ya kiungo huyo. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza …
Union Berlin Yathibitisha Kumhitaji Gosens
Robin Gosens yuko sokoni msimu huu wa joto kwa Inter na Union Berlin hatimaye walithibitisha kuwa wanamfuatilia mchezaji huyu wa kuvutia sana. Ametimiza umri wa miaka 29 wiki hii …
Xhaka Ataja Sababu za Kuondoka Arsenal
Kiungo wa Bayer Leverkusen Granit Xhaka amebainisha kwamba alihitaji changamoto mpya wakati akielezea kuondoka kwake Arsenal. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Kiungo huyo wa kati …
Brighton Wanamtaka Colwill Beki wa Chelsea
Brighton bado hawajakata tamaa na wana nia ya kumsajili Levi Colwill beki wa kati wa Chelsea na timu ya taifa ya England chini ya miaka 21. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet …
Mourinho: Sijui Kama Dybala Atauzwa
Kocha lenye mbwembwe zaidi Jose Mourinho alisema hana uhakika kama mshambuliaji wa Roma Paulo Dybala ana kipengele cha kutolewa kwa pauni milioni 10 katika mkataba wake. Ukiwa na meridianbet odds …
Willy Caballero Apewa Ukocha Leicester City
Kipa wa zamani wa Manchester City Willy Caballero ameteuliwa kuwa kocha msaidizi katika klabu ya Leicester. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Maresca ndiye kocha mkuu …

