Kipa wa zamani wa Manchester City Willy Caballero ameteuliwa kuwa kocha msaidizi katika klabu ya Leicester. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Maresca ndiye kocha mkuu wa klabu ya Leicester baada ya kushushwa daraja kutoka kwenye Premier League. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Kocha huyo wa Italia alichukua nafasi ya ukocha mkuu baada ya kuwa msaidizi wa Pep Guardiola katika klabu ya Manchester City na ametaja jina jingine kutoka Man City, Caballero kama nambari 2 wake ili kuanza kuinoa klabu hiyo kujaribu kuirudisha kwenye Premier League.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.


