De Gea Aacha Rekodi ya Kipekee Utd

De Gea

Aliyekuwa mlinda mlango namba 1 wa Manchester United David De Gea ameacha rekodi ya kutisha klabuni hapo baada ya kutangaza kuachana na na Mashetani Wekundu. Meridianbet wamejipanga vizuri kukufanya kuwa mcharo kwa odds kubwa na ushindi wa kumwaga pindi ligi kuu ya Uingereza na nyingine zitakapoanza.

De Gea aliyejiunga na Man Utd mwaka 2011 na kudumu klabuni hapo kwa misumu 12 kitu kilichomfanya kuwa moja ya walinda mlango waliohudumu kwa muda mrefu zaidi Utd.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Meridianbet Sport tumekukusanyia rekodi za kipekee za David De Gea tangu ajiunge na Utd mwaka 2011, kuwa wakwanza kufahamu habari za kimchezo ukitembelea Youtube Chaneli kwa jina la Meridian Sport, odds kubwa na kasino ya mtandaoni ni sehemu pekee ya wewe kutengenza mkwanja wa kutosha Meridianbet. Cheza sasa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Amedaka jumla ya mechi 545

Mataji Aliyobeba Tangu msimu wa 2011 mpaka 2022/23

  • Premier League:  1 (2012-13)
  • FA Cup: 1 (2015-16)
  • EFL Cup: 2 (2016-17, 2022-23)
  • Europa League: 1 (2016-17)
  • Community Shield: 3 (2011, 2013, 2016)
  • Goals conceded: 590
  • Clean sheets: 190
  • Kusahihisha makosa ambayo yangefanya Utd afungwe: 17

De Gea aliandika maneno haya kuaga mashabiki wa Utd:

“Ningependa kutoa shukrani zangu zisizo na shaka kwa upendo wa miaka 12 iliyopita. Tumefanikiwa mengi tangu mpendwa wangu Sir Alex Ferguson aliponileta katika klabu hii.

 

De Gea

“Niliona fahari ya ajabu kila nilipovaa jezi hii kuongoza timu, kuwakilisha taasisi hii – klabu kubwa zaidi duniani – ilikuwa ni heshima iliyotolewa kwa wanasoka wachache waliobahatika.

“Sasa ni wakati mwafaka wa kutafuta changamoto mpya, kujiweka katika mazingira mapya.

“Kimekuwa kipindi kisichosahaulika na chenye mafanikio tangu nilipokuja hapa. Sikufikiria, kuondoka Atletico Madrid nikiwa kijana mdogo, tungefanikisha tulichofanya pamoja. Alisema De Gea.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

 

Acha ujumbe