Mourinho: Sijui Kama Dybala Atauzwa

dybala

Kocha lenye mbwembwe zaidi Jose Mourinho alisema hana uhakika kama mshambuliaji wa Roma Paulo Dybala ana kipengele cha kutolewa kwa pauni milioni 10 katika mkataba wake. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Ripoti zinamhusisha mshambuliaji huyo wa Argentina na kuhamia Chelsea, huku Dybala pia akiripotiwa kuwa na kipengele cha kuvunja mkataba wake.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Sijui chochote kuhusu kandarasi yake,” Mourinho aliwaambia wanahabari katika Uwanja wa Ndege wa Rome Jumamosi.

“Lakini ni wazi nazungumza na Paulo (Dybala) kama ninavyofanya na wachezaji wangu wote.”

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Dybala alifunga mabao 18 katika michezo 38 katika mashindano yote akiwa na Roma msimu uliopita.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.