Fernandes: “De Gea Alistahili Kuagwa kwa Heshima Old Trafford”
Bruno Fernandes amemwagia sifa kemkem mchezaji mwenzake wa Manchester United David De Gea, akidai kuwa kipa huyo alistahili kuagwa kitofauti. De Gea alifichua Jumamosi kwamba ataondoka katika klabu hiyo …
Yanga Kushusha Winga wa Kikongo
FUJO za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Yanga kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia Nzengeli. …
Feisal Atuma Salamu Nzito
KIUNGO mpya wa Azam FC Feisal Salum amesema kuwa anafurahia kuwa kwenye changamoto mpya ndani ya Azam FC. Ni ingizo jipya ndani ya Azam FC akitokea kikosi cha Yanga kilichotwaa …
Icardi Rasmi Ajiunga na Galatasaray
Klabu ya Galatasaray ya Uturuki imefanikiwa kumsaini mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina Mauro Icardi kutoka klabu ya PSG kwa kiasi cha Euro milioni 10. Mauro Icardi ambaye alikua anaitumikia klabu …
Bayern Munich Watuma Ofa ya Pili kwa Kane
Klabu ya Bayern Munich kutoka nchini Ujerumani wameripotiwa kutuma ofa ya pili kwa klabu ya Tottenham kwajili ya mshambuliaji wa klabu hiyo Harry Kane. Bayern Munich walifanikiwa kutuma ofa ya …
Manchester United Kupitisha Fagio
Klabu ya Manchester United wanatarajia kupitisha fagio la chuma katika dirisha hili kubwa kuelekea msimu ujao kwani wataacha wachezaji kama wanne ambao watawaweka sokoni. Manchester United wanatarajiwa kuachana na nahodha …
Atalanta Inaweza Kuipiku Everton kwa Toure
Gazeti la Ufaransa L’Equipe linadai kuwa Atalanta wameipiku Everton katika kuinasa saini ya mshambuliaji wa Almeria El Bilal Toure. Mkataba huo unaaminika kuwa wa thamani ya €20m na kandarasi …
Lazio Yamuibukia Zaha Anayesakwa na Al-Nassr
Lazio inaendelea kusubiri jibu kutoka kwa mchezaji huru Wilfried Zaha, ambaye pia anasakwa na PSG, lakini amekataa ofa kubwa ya Al-Nassr. Iliripotiwa siku kadhaa zilizopita kwamba Zaha alikuwa amekubali …
Wolves Wanaweza Kumtoa Arthur Mikononi mwa Juventus
Juventus bado wanajaribu kutafuta klabu mpya kwa ajili ya Arthur Melo na huenda akaibukia klabu ya Ligi kuu ya Uingereza Wolves. Kiungo huyo alikaa kwa mkopo Liverpool msimu uliopita, …
Maguire Kuvuliwa Unahodha Man United
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mpango wa kumvua unahodha nahodha wake wa sasa Harry Maguire ikiwa hataondoka klabuni hapo katika dirisha hili kubwa. Klabu ya Manchester United ipo kwenye …

