Onana, Kraumo Waipa Simba Jeuri
BAADA ya Simba kukamilisha usajili wa mawinga wawili kiboko Willy Esomba Onana na Aubin Kramo,wameanza tambo kwa kutamba kuwa msimu ujao hawataacha kila kitu kwani watakuwa na wachezaji wa maana. …
Kocha Yanga Aahidi Makombe
KOCHA mpya wa Yanga Miguel Angel Gamond amesema kuwa kwa sasa jambo ambalo analifikiria ni kuifanya Yanga kutwaa mataji muhimu ili kuendeleza ubora waliouonyesha msimu uliopita. Yanga msimu uliopita walifanikiwa …
Gamondi Afanya Maamuzi Magumu
KOCHA mkuu wa Yanga Miguel Angel Gamondi ameuambia uongozi wa Yanga kuwa anawahitaji wachezaji mapema iwezekanavyo kambini ili aweze kutengeneza muunganiko mzuri baina yake na wachezaji hao. Kocha Gamondi amebariki …
Manchester United Waanza Pre-Season Vizuri
Klabu ya Manchester United wameanza maandalizi ya msimu mpya vizuri baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao mawili kwa bila dhidi ya Leeds United katika mchezo uliopigwa nchini Norway leo. …
Fulham Vitani Kumbakiza Willian
Klabu ya Fulham italazimika kuingia vitani kuhakikisha inambakiza winga wa kimataifa wa Brazil Willian klabuni hapo baada ya mkataba wake kumalizika mwezi Juni mwaka huu. Fulham wamejikuta wanaingia vitani na …
Salim Try Again Aahidi Kishindo Kikubwa Simba
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba Salim Try Again ameahidi kishindo kikubwa kwenye usajili kwa wanasimba mapema leo katika shughuli ya uzinduzi wa kadi wanachama. Simba leo …
Laporta: Dembele Haendi Popote
Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amesema winga wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga ndani ya klabu hiyo Ousmane Dembele ataendelea kusalia ndani ya klabu hiyo. Laporta akiongea na wanahabari …
Joao Felix Kwenye Rada za Ten Hag
Winga wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ureno Joao Felix ameingia kwenye rada za kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag katika dirisha hili …
West Ham Kumuachia Mshambuliaji Wake
Mshambuliaji wa West Ham raia wa kimataifa wa Italia Gianluca Scamacca anatarajiwa kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia klabu ya As Roma nchini kwao. West Ham wako tayari kumuachia …
Man United Yamuweka Kando Hojlund Kwajili ya Onana
Klabu ya Man United wamekua kwenye mchakato wa kutafuta mshambuliaji mpya kuelekea msimu ujao lakini wameueka kando kwanza mpango huo kwajili kumalizana na dili la Onana. Man United walikua wanamfukuzia …

