West Ham Kumuachia Mshambuliaji Wake
Daily News

Mshambuliaji wa West Ham raia wa kimataifa wa Italia Gianluca Scamacca anatarajiwa kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia klabu ya As Roma nchini kwao. West Ham wako tayari kumuachia …

Soma zaidi
Man United Yamuweka Kando Hojlund Kwajili ya Onana
Daily News

Klabu ya Man United wamekua kwenye mchakato wa kutafuta mshambuliaji mpya kuelekea msimu ujao lakini wameueka kando kwanza mpango huo kwajili kumalizana na dili la Onana. Man United walikua wanamfukuzia …

Soma zaidi
Harry Kane Aaahidiwa Mshahara Kufuru Spurs
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs na nahodhawa timu ya taifa ya Uingereza Harry Kane ameahidiwa mshahara wa kufuru kama atakubali kunaki ndani ya klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji …

Soma zaidi
Manchester United Yatangaza Kikosi Cha Pre-Season
Daily News

Klabu ya Manchester United imetangaza kikosi chake cha wachezaji 26 ambao watakwenda nao kwenye pre-season ambayo wataanzia nchini Norway. Manchester United kesho itakua imefika katika jiji la Oslo nchini Norway …

Soma zaidi
Mason Greenwood Kufanya vipimo vya Afya Atalanta Leo
Daily News

Winga wa klabu ya Manchester United ambaye alikua nje ya uwanja kwa muda mrefu Mason Greenwood atafanya vipimo vya afya leo ndani ya klabu ya Atalanta kwajili ya kujiunga na …

Soma zaidi
West Ham Wamnyatia Ward Prowse
Daily News

Klabu ya West Ham United mabingwa wa kombe la Uefa Conference League wanaripotiwa kumfukuzia kiungo wa klabu ya Southampton James Ward Prowse. Kocha wa West Ham David Moyes inaelezwa kua …

Soma zaidi
Tottenham Imemsajili Solomon Ambaye Alikuwa Mchezaji Huru
Daily News

Tottenham wamemsajili Manor Solomon ambaye alikuwa ni mchezaji huru, huku wakitaka kuimaraisha nafasi yao ya mbele.   Solomon alipewa kandarasi na Shakhtar Donetsk lakini alikaa kwa mkopo Fulham msimu uliopita …

Soma zaidi
Simba Yaelekea Uturuki Kwaajili ya Kuweka Kambi
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba tayari imeanza safari ya kuelekea Uturuki kwaajili ya kuweka kambi kujiandaa na msimu ujao wa Ligi kuu ya NBC.   Simba imeanza safari hii masaa machache yaliyopita …

Soma zaidi
Maddison Amvutia Kocha Mpya Spurs
Daily News

Kiungo mpya wa klabu ya Tottenham Hotspurs James Maddison amemvutia kocha mpya wa klabu hiyo Ange Postecoglou kua atakua kama kiongozi katika kutekeleza mfumo wake. Kocha Ange anamuona Maddison kama …

Soma zaidi
PSG Inaangalia Uwezekano wa Kumnunua Osimhen Baada ya Mbappe Kukichafua
Daily News

PSG wameripotiwa kumhitaji Victor Osimhen kama mlengwa wao mkuu iwapo Kylian Mbappe ataondoka msimu huu wa joto, lakini Napoli wana kazi ngumu katika kumbakiza mshambuliaji wao.   Miamba hiyo ya …

Soma zaidi
1 2 3 442 443 444 445 446 447 448 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.