Milan Yaachana na Dili la Traore, Roma Bado Inamtaka
Daily News

Milan wameachana na wazo la kumsajili mchezaji huru Adama Traore, hivyo Roma wanajiamini zaidi kwamba wanaweza kufanya makubaliano na mchezaji huyo.   Ndani ya Milan alikuwa chaguo la kwanza la …

Soma zaidi
Willian Atembelea Uwanja wa Mazoezi wa Forest, Huku Akihusishwa na Klabu Hiyo
Daily News

Willian alitembelea uwanja wa mazoezi wa Nottingham Forest kabla ya uhamisho wake unaowezekana msimu huu wa joto.   Mkataba wa Mbrazil huyo unamalizika Fulham na amekuwa kwenye mazungumzo na Forest …

Soma zaidi
Rodrigo Anaondoka Leeds na Kujiunga na Al-Rayyan ya Qatar
Daily News

Leeds United wametangaza kuwa mchezaji wa zamani wa klabu yao Rodrigo amejiunga na Al-Rayyan ya Qatar.   Leeds United iligharimu pauni milioni 27 walipomsajili mshambuliaji huyo wa Uhispania kutoka Valencia …

Soma zaidi
Yanga Yapigwa Mkwara kwenye Usajili
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa usajili ambao wameufanya watawasumbua kwelikweli wapinzani wao kwenye mechi zote za ushindani. Ni mzawa Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate huyu ametambulishwa ndani …

Soma zaidi
KMC sura Mpya Msimu Ujao
SOKA LA BONGO

ABDI Hamid Moallin ni kocha mpya ndani ya kikosi cha KMC chenye ngome yake pale Kinondoni. Kocha huyo ambaye amewahi kuifundisha Azam FC amerejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya …

Soma zaidi
Nunez Apewa Jezi ya Firmino
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Darwin Nunez amekabidhiwa jezi namba tisa ambayo ilikua ikivaliwa na mshambuliaji Roberto Firmino ambaye ametimka klabuni hapo. Nunez ambaye alisajiliwa kwa gharama kubwa msimu uliomalizika …

Soma zaidi
Simba Yamalizana na Miquisonne
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba inataarifiwa imemalizana na aliyekua winga wake wa zamani ambaye kwasasa alikua mchezaji wa Al Ahly Luis Miquisonne na ataitumikia klabu hiyo msimu ujao. Klabu ya Simba ilielezwa …

Soma zaidi
Pogba na Juventus Huenda Wakifika Mwisho
Serie A

Kiungo wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba ambaye amewahi kukipiga klabu ya Manchester United huenda akafikia mwisho ndani ya klabu hiyo. Vyanzo mbalimbali kutoka …

Soma zaidi
Henderson Kutimka Liverpool
Daily News

Nahodha wa klabu ya Liverpool Jordan Henderson atatimka ndani ya klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa muda mrefu na anadaiwa kutimkia Uarabuni msimu ujao. Henderson amekua kwenye kiwango kikubwa kwa …

Soma zaidi
Delle Alli: Aweka Wazi kilichokua kinamsumbua
Daily News

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Tottenham Hotspurs ambaye kwasasa anakipiga klabu ya Everton Delle Alli amefunguka nini ambacho kimemfanya kupotea na kushuka uwezo kwa kiasi kikubwa. Delle Alli wakati …

Soma zaidi
1 2 3 439 440 441 442 443 444 445 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.