Chelsea Hawajali kama Lukaku Atajiunga na Inter, Mradi tu Aondoke Msimu Huu wa Joto
Chelsea haijalishi kama Romelu Lukaku atahamia Inter msimu huu wa joto. Muda tu akiondoka kwenye klabu, kulingana na ripoti mbalimbali Italia. Chelsea ambayo ni ya London Magharibi wanataka tu …
Lazio Wakubali Dili la Castellanos na New York City FC
Lazio wameripotiwa kufikia makubaliano kamili na New York City FC kwa ajili ya uhamisho wa mshambuliaji Valentin ‘Taty’ Castellanos. Iliripotiwa awali na Cesar Luis Merlo, ambaye baadaye alithibitishwa na …
Mendy Alia kwa Uchungu Baada ya Kukutwa Hana Hatia
Mchezaji wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy ameondolewa mashtaka ya kumbaka msichana na kujaribu kumbaka mwingine. Mendy, mwenye umri wa miaka 28, aliangua kilio huku uamuzi wa wawili …
Saudi Yanaendelea Kutumia Pesa Huku Al-Ahli Wakimhitaji Mahrez
Klabu ya Saudi Arabia Al-Ahli iko tayari kupeleka ofa ya pauni milioni 30 kumsajili Riyad Mahrez kutoka Manchester City. Klabu hiyo ya Saudi tayari imetoa ofa ya pauni milioni …
Mgunda Fungu la Kukosa Simba
UPO uwezekano mkubwa wa Simba kuendelea na kocha wake msaidizi, Juma Mgunda katika msimu ujao licha ya usiri mkubwa ulikuwepo kati yake na mabosi wa timu hiyo. Mgunda juzi aliachwa …
Gamondi Kuongeza Watatu
IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, ameomba kuendelea kuliboresha benchi la ufundi kwa kuleta makocha wengine watatu wapya. Hiyo ikiwa ni saa chache tangu Yanga wamtangaze Mousa …
Taifa Stars Yapangwa na Nigeria Kufuzu Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Tanzania (TaifaStars), imepangwa Kundi E katika makundi ya kufuzu Kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026 Katika droo iliyochezeshwa makundi 9 yenye timu 6 …
Lloris Kutimka Spurs Msimu huu
Golikipa na nahodha wa klabu ya Tottenham Hugo Lloris ataondoka ndani ya klabu ya hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa muda mrefu. Golikipa Lloris ameomba …
Mendy Akutwa hana Hatia
Beki wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Ufaransa Benjamin Mendy amekutwa hana hatia baada ya kushutumiwa kuhusika na unyanyasaji wa kingono. Mendy alishtumiwa kuhusika kwenye suala …
Arsenal Wamtambulisha Timber
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kumtambulisha aliyekua beki wa klabu ya Ajax Jurien Timber ambaye amesajiliwa klabuni hapo kwa dau la euro milioni 45. Timber amejiunga na Arsenal rasmi leo na …

